Rais Samia, kataa ombi la Jenerali Venance Mabeyo kustaafu

Tufuate sheria kama umri umefika ni muhimu akastaafu.

Hii tabia ya kuongeza muda wa kustaafu huku vijana wakiozea mitaani ni ujinga na upumbavu.

Tanzania ni kubwa na wapo wajeda kibao ambao wana sifa na uwezo wa kuongoza JWTZ.
Wapo wajeda wengi wenye uwezo wa kuongoza JW akiwemo Luteni Urio.....😅😅. Hivi Urio yuko wapi sasa? Stori zake zinataka kuyeyuka kimyakimya.
 
Umeandika kitu gani,yaani umejikunja mda wote huo kuleta upuuzi wako huu
Ovyo!usinitafte la rohoni
 
duh!! mtoto wa mabeyo hutaki baba aachie ngazi? au unamashaka na ratiba za Ugali wa hapo nyumbani kuporomoka?

Ondoa shaka hata mzee akistaafu, ratiba ya Ugali ipo palepale, alishazikusanya za kutosha.
 
Amestaafu Mwamunyage
Amestaafu Msuguri
Amestaafu Mboma.

Wamestaafu maafsa wengi sana huki JWTZ...kustaafu kwake ndio mwanzo wakuja mwingine..
 
Hakuna mwenye hati miliki na Taasisi yoyote ya umma nchi hii. Ukifika wakati wa kuwapisha wengine huna budi kufanya hivyo. Jeshi lina viongozi wenye weledi wa kutosha ambao, mmoja wao akipewa hiyo nafasi nina hakika ataimudu.

Remember:
No matter how good you are, you can always be replaced!


 
Hakuna mtu mwema na muadilifu mmoja hapa tz wapo wengi tuu tusiongozwe na hisia , furaha ya mida mfupi au huzuni ya temporary tufute matakwa ya sheria tafadhal
 
Aendelee tu hata mpaka akitumia mkongojo kwenda nao ofisini maana kwa miaka 65 mnaona bado haimtoshi
 
Tz ina wajeda wa kutosha wenye izo sifa akae kando wengine washike jahazi
 
Wakina mabeho hata zaidi yake wapo wengi tu, tiaiwe na akili mganfo
 
Sukuma gang mnachekeshaaa,mnajifanya wajanjaaaaa !!
 
Hivi ni zaidi ya miaka 42 tangu vita ya Kagera,Mzee Mabeyo alikuwa Mwanajeshi Kijana sana wakati wa Vita kumbe?
 
Mabeyo Kishafikia umri wa Kustaafu tokea 2019.
Ni Mzee ambaye chini yake, Nchi imekuwa na Magenge ya Watekaji, Wasiojulikana, na watu Kupigwa risasi hovyo hovyo
 
Mbona Kuna wazuri Mara kumi ya Venance Mabeyo,muda umefika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…