Rais Samia, kataa ombi la Jenerali Venance Mabeyo kustaafu

Ameishaandaliwa Mzanzibari w kuchukua mikoba yake
 
Acha hizo bhana, sasa ni zamu ya waislamu kushika jeshi, au hujui hilo?
 
Mabeyo jamaa ana akili, mnyenyekevu na hofu ya Mungu, nilimuona kipindi flani alialikwa kwenye mahafali chuo kikuu flani huku kusini.
Yes, naunga mkono hoja.!
 
Who the hell are you to talk nonsense kwa mkuu wa majeshi wa nchi hii.
Umepaniki yawezekana jamaa alishindwa kupasua tofali Kwa kichwa,!? Badala yake akapasuka yeye kichwa!? Ikabidi CDf amkimbilie kumpa huduma ya Kwanza!? Au aliungua na moto alijaribu kuonyesha ukomando!? Au alivamia gwaride!?
 
Asistaafu Ili iweje?kwani hakuna wengine wakushika hiyo nafasi?
Hapa tusubili kuwekewa mzenj tu,IGP Zenj,Takukuru Zenj,CDF Zenj,hapo mama atakuwa ameupiga mwingi hatari.
 
Kikwete atamshauri amuache astaafu halafu achague CDF muislam kutoka Zanzibar!! Hapo ndipo atakapoingia choo cha wanaume! Time will tell. SUMU HAIJARIBIWI MARA MBILI!
Hakuna wanawake wenye sifa/vigezo vya kustahili nafasi hiyo?
 
Mleta mada hujamsikia hata Paul makonda amesema watu wote walikuwa chini ya teuzi za magufuli wanakuwa phased out. Na huyo mzee wamemuheshimu sababu ya sekta anayotoka ya ulinzi lakini kwa system ya mama watu wote wa magu anawatoa.
 
We acha Mabeyo aende zake sasa ni zamu ya generali Abdillah. Sukuma gang wakati wenu umepita.
 
Nasikia wana-usalama hawastaafu bali wanapumzika, hvy pakitokea jambo hua wanaruka nalo chap kama vile wapo kazini.
 
Hata watu wengine wanataka kulamba asali
 
Jeshi sio ukasisi, lazima astafu kwamujibu wa sheria

USSR
Kama LiMagu lilikuwa rais likiwa na miaka zaidi ya 60, kuna ubaya gani Mabeyo akiwa CDF akiwa na miaka hiyo?

Tunataka mama atawale akiwa na ulinzi wa uhakika
 
Alipendwa Nyerere akastaaff sembuse Jenerali... Nyie WaTz wengine ni wa hovyo sana... Hii nchi kubwa sana haina uhaba wa watumishi bora... Hivyo hakuna mtu bora kuliko mwingine... Ukisema huyo na vipi kuhusu akina Mwamunyange...? Wamestaff wakiwa bora sana na watu wamewasahau kwasabab kuna bora zaid kilasiku wanazaliwa
 
Wewe kweli kisanduku, Jeshi halina mtu muhimu, muhache astaafu kama kuongezewa kaongezewa kipindi cha Magufuli.
 
Wasingestaafu akina Musuguri, Mwamunyange, na wengine, Mabeyo ungemjuaje? Kustaafu ni wajibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…