* Mama akikuteua acha kauli na maneno ya dhihaka dhidi ya watanzania
* Uchaguzi uliisha kwa kuacha makovu na majeraha kwa baadhi ya watanzania
Tutashinda kwa mkono au boksi haifai
Vijana wasiopata mkopo hao ni wakenya
Asiyetaka tozo ahamie Burundi
Tanzania hakuna ufisadi, wanaolalamika ni mashetani
Hizi na zingine nyingi husemwa na baadhi kwa kurudiwa rudiwa. Wanaorudia maneno hayo wengine walipigwa kura za maoni wakavushwa kwa kupata point za mezani.
Sasa Mama asisikikize vitambimbele badala yake asikilize watanzania bila kujali wanatoa hoja zao wakiwa vyama gani, jiografia gani nk