Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
* Mama akikuteua acha kauli na maneno ya dhihaka dhidi ya watanzania
* Uchaguzi uliisha kwa kuacha makovu na majeraha kwa baadhi ya watanzania
Hizi na zingine nyingi husemwa na baadhi kwa kurudiwa rudiwa. Wanaorudia maneno hayo wengine walipigwa kura za maoni wakavushwa kwa kupata point za mezani.
Sasa Mama asisikikize vitambimbele badala yake asikilize watanzania bila kujali wanatoa hoja zao wakiwa vyama gani, jiografia gani nk

- Tutashinda kwa mkono au boksi haifai
- Vijana wasiopata mkopo hao ni wakenya
- Asiyetaka tozo ahamie Burundi
- Tanzania hakuna ufisadi, wanaolalamika ni mashetani