The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Kuna kila dalili kwamba baadh ya watanzania wezetu wameanza kujitenga na huyu rais.Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amelihutubia Bunge rasmi Bunge la nchi hiyo na kutoa ahadi mbali mbali.
Bunge hilo linatarajiwa kuvunjwa rasmi tarehe 3 Agosti ili kutoa fursa kwa taifa hilo kujiandaa kwa ajili ya uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Akihutubia Bunge 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia amesema: “Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu Tume huru ya Taifa ya uchaguzi iliundwa kwa sheria yake yenyewe ili kujibu rai ya muda mrefu ya wadau wa siasa nchini”.
Aliendelea kusema kuwa: “Niseme kuwa Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi itatangaza hivi karibui tarehe ya siku ya uchaguzi, zoezi la uandikishwaji limeshakamilika nchi nzima, Sote tumeshuhudia mwitikio mzuri wa wananchi kujitokeza kwenye vituo vya wapiga kura”
Rais huyo wa Tanzania amesema kuwa kuwa uhuru wa habari na uhuru wa watu kutoa maoni yao umeongezeka, akitoa mfano kuwa majukwaa ya kutoa habari nayo yameongezeka, ’’ Tunathamini na kutambua mchango mkubwa wa vyombo vya habari ”, amesema.
Ameongeza kusema kuwa ''Mchakato wa katiba mpya ni miongoni mwa ahadi ambazo zinaonekana katika ilani ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2025/2030''
CCM hawawezi kukata tawi walilokalia, ikipatikana katiba mpya na wao ndio bai bai.Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amelihutubia Bunge rasmi Bunge la nchi hiyo na kutoa ahadi mbali mbali.
Bunge hilo linatarajiwa kuvunjwa rasmi tarehe 3 Agosti ili kutoa fursa kwa taifa hilo kujiandaa kwa ajili ya uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Akihutubia Bunge 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia amesema: “Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu Tume huru ya Taifa ya uchaguzi iliundwa kwa sheria yake yenyewe ili kujibu rai ya muda mrefu ya wadau wa siasa nchini”.
Aliendelea kusema kuwa: “Niseme kuwa Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi itatangaza hivi karibui tarehe ya siku ya uchaguzi, zoezi la uandikishwaji limeshakamilika nchi nzima, Sote tumeshuhudia mwitikio mzuri wa wananchi kujitokeza kwenye vituo vya wapiga kura”
Rais huyo wa Tanzania amesema kuwa kuwa uhuru wa habari na uhuru wa watu kutoa maoni yao umeongezeka, akitoa mfano kuwa majukwaa ya kutoa habari nayo yameongezeka, ’’ Tunathamini na kutambua mchango mkubwa wa vyombo vya habari ”, amesema.
Ameongeza kusema kuwa ''Mchakato wa katiba mpya ni miongoni mwa ahadi ambazo zinaonekana katika ilani ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2025/2030''
Ndiyo alivyosoma hajasema yeyeRais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amelihutubia Bunge rasmi Bunge la nchi hiyo na kutoa ahadi mbali mbali.
Bunge hilo linatarajiwa kuvunjwa rasmi tarehe 3 Agosti ili kutoa fursa kwa taifa hilo kujiandaa kwa ajili ya uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Akihutubia Bunge 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia amesema: “Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu Tume huru ya Taifa ya uchaguzi iliundwa kwa sheria yake yenyewe ili kujibu rai ya muda mrefu ya wadau wa siasa nchini”.
Aliendelea kusema kuwa: “Niseme kuwa Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi itatangaza hivi karibui tarehe ya siku ya uchaguzi, zoezi la uandikishwaji limeshakamilika nchi nzima, Sote tumeshuhudia mwitikio mzuri wa wananchi kujitokeza kwenye vituo vya wapiga kura”
Rais huyo wa Tanzania amesema kuwa kuwa uhuru wa habari na uhuru wa watu kutoa maoni yao umeongezeka, akitoa mfano kuwa majukwaa ya kutoa habari nayo yameongezeka, ’’ Tunathamini na kutambua mchango mkubwa wa vyombo vya habari ”, amesema.
Ameongeza kusema kuwa ''Mchakato wa katiba mpya ni miongoni mwa ahadi ambazo zinaonekana katika ilani ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2025/2030''
Waendelee na mama Yao!Kuna kila dalili kwamba baadh ya watanzania wezetu wameanza kujitenga na huyu rais.
Kuna kauli Kama 'mama yenu" "rais wenu" n.k
😁😁😁😁😁😁Waendelee na mama Yao!
Watanzania wanataka maendeleo sio katiba mpyaYuko sawa, katiba jambo kubwa haitakiwi kulipua lipua
Tuweke kipengele cha kuwanyonga mpaka kufa viongozi aina ya Samia na Kikwete.Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amelihutubia Bunge rasmi Bunge la nchi hiyo na kutoa ahadi mbali mbali.
Bunge hilo linatarajiwa kuvunjwa rasmi tarehe 3 Agosti ili kutoa fursa kwa taifa hilo kujiandaa kwa ajili ya uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Akihutubia Bunge 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia amesema: “Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu Tume huru ya Taifa ya uchaguzi iliundwa kwa sheria yake yenyewe ili kujibu rai ya muda mrefu ya wadau wa siasa nchini”.
Aliendelea kusema kuwa: “Niseme kuwa Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi itatangaza hivi karibui tarehe ya siku ya uchaguzi, zoezi la uandikishwaji limeshakamilika nchi nzima, Sote tumeshuhudia mwitikio mzuri wa wananchi kujitokeza kwenye vituo vya wapiga kura”
Rais huyo wa Tanzania amesema kuwa kuwa uhuru wa habari na uhuru wa watu kutoa maoni yao umeongezeka, akitoa mfano kuwa majukwaa ya kutoa habari nayo yameongezeka, ’’ Tunathamini na kutambua mchango mkubwa wa vyombo vya habari ”, amesema.
Ameongeza kusema kuwa ''Mchakato wa katiba mpya ni miongoni mwa ahadi ambazo zinaonekana katika ilani ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2025/2030''t
Vyama vya Siasa HAVIWEZI kuleta Katiba Mpya Tanzania, but it's the will of tanzanians that will bring The New Constitution of the United Republic of Tanzania.Hata ilani ya uchaguzi ya 2015/20 ilikuwa na ahadi ya katiba mpya ndani yake lakini baada ya uchaguzi CCM waliikana. Kwa hiyo hamna lolote hapo, ni hadaa hizo