Wimbo
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 887
- 664
Niliwahi kupata maono ya kwamba ungemaliza uongozi kipindi hiki ungepata heshima isiyo kifani. Lakini kwa kuwa kuna wachache wanafaidika na uwepo wako wamekupanga uongeze mitano tena na wewe ukakubali kupangika.
Mitano hii unayo tuomba itakuwa migumu sana kwako. Kelele hizi za Maaskofu Mashehe na Wachungaji usizifumbie macho ukalalia upande mmoja wa sifa unazomwagiwa nyingine siyo hasa, sina hakika kweli kama umefanya utafiti wa kutosa wa idadi ya wanachama tunaokusifia v/s wapiga kura wote kabla hujafikilia mbinu nyingize za ushindi.