Rais Samia kuanza safari ya kikazi nchini DR Congo

Ila kwa hili la Bandari ya Bagamoyo binafsi SIKUBALIANI na wewe au yeyote anaye lipigania. Endelezeni bandari zilizopo kwa manufaa ya nchi hii na SIYO kwa manufaa ya wapigaji wachache.
Ni haki yako kutokukubaliana na project hiyo...

Na Mimi na wengine ni haki yetu pia kukubaliana nayo kwa 100%...

Na ishu iko hivi;

Wewe si kwamba hukubaliani na mradi (project) ya ujenzi wa bandari mpya pale Bagamoyo...

Bali, hofu yako iko ktk assumption tu kuwa, pale pana upigaji kama ulivyoandika hapa...!!
 
Round hii kama ni raisi tu!!!mbona tunae[emoji56][emoji56]
 
Pelekeni hiyo au hayo madai na huo ushahidi kwa PILATO ili mpate haki yenu. Hili la kuandika humu JF na kubishana na akina CHIEF MASALAKULANGWA na wengine haisaidii ninyi kupata haki zenu.
Pilato anaitumikia CCM badala ya kutumikia wananchi.Kesi ya Tumbili haiwezi kupelekwa kwa Ngedere.
Your browser is not able to display this video.
 
Nitafurahi Sana Rais wangu mpendwa akienda Afghanistan kuwapongeza Taliban kwa kutwaa umiliki wa ardhi yao
Jamani jamani nimechekaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Naunga mkono hoja hii ziara inamfaa sana.
 
Hapa nakuunga mkono,Ila akienda awashawishi DRC ,nao waunge reli ya mwendo kasi ifike kwao,wajenge daraja ipasue ziwa mpaka kwao hapo tutakuwa tumelamba dume kwelikweli, kinyume na hapo bado hamna kitu!
 
Hoja yangu ni kwamba asafiri kwa kuangalia nchi ambazo ni vipaumbele vyetu kwa maana ya nchi zenye tija zaidi kwetu.Unakumbuka Magufuli aliwahi kusafiri kwenda Zimbabwe?Zimbambwe ilikuwa ni nchi yenye tija kwetu kuliko nchi zote duniani?
Tuwe wazi Zaidi kwa kuzitaja au kupendekeza nchi tatu zenye tija kwa Tanzania
 
Atarekebisha sheria na bunge halijaanza?
 
Bajeti siku zote inafdhiliwa na fedha za ndani, misaada na mikopo ... huo mkopo ni kwa ajili ya kufadhili bajeti
 
Palm Tree sikia huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo siyo mradi mpya. Mradi huo ulisha chambuliwa kwa data na takwimu na malengo yake hapa nchini kwenye uchumi wetu na kwenye bandari zetu nyingine. Ulichambuliwa vizuri sana pale ulipoibuliwa na ukaonekana ni mradi wa hovyo, umejaa upigaji kutoka kwa wale Wachina ambao ni MADALALI tu wa wale wawekezaji kutoka Uarabuni!

Binafsi nilipata bahati ya kuona andiko la huo mradi na makatazo yake mengi dhidi ya uendelezaji wa bandari zote kutoka "Lamu" hadi "Maputo"! Kuna visharti vingi vya kijinga kwenye huo mradi kiasi ambacho viongozi wote walikubaliana na uchambuzi huo wakati ule na hata katazo la JPM la kuendelea na mradi huo. Lakini leo hao hao viongozi walioupinga na kukubaliana na wachambuuzi wote pamoja na JPM, leo wamegeuka na "kuwa mawe"! It is really frustrating kuwa na viongozi wa aina hii!
 
Pilato anaitumikia CCM badala ya kutumikia wananchi.Kesi ya Tumbili haiwezi kupelekwa kwa Ngedere.
View attachment 1907767
Basi tafuteni njia nyingine yoyote mnayodhani itawafaa na wakati huo huo mkijua kuwa kuna Serikali halali ya CHAMA CHA MAPINDUZI yenye dola na vyombo vyote unavyo vijua wewe na Mbowe na TOBO na wengine wote na najua mnafahamu nini kitawapata mkivunja sheria za nchi na hakuna BOB wala nani atakaye wasemea! Si mnaona tangu TOBO ashindwe kwenye 2020 GE wamekuwa kimya!
 
Basi tafuteni njia nyingine yoyote mnayodhani itawafaa na wakati huo huo mkijua kuwa kuna Serikali halali ya CHAMA CHA MAPINDUZI yenye dola na vyombo vyote unavyo vijua wewe.
Serikali iliyopo madarakani ya CCM siyo serikali halali kwa sababu haijatokana na wananchi na hili alilithibitisha yeye Samia mwenyewe aliposema kuwa wataiba kura waunde Serikali.

Serikali ya CCM haina kibali cha wananchi.Serikali ambayo haina kibali cha wananchi siyo Serikali halali.
 
Nazidi kusisitiza kuwa kama kuna "wizi" nendeni kwa PILATO period. Kuendelea na mabishano yasiyo na HOJA ni kupoteza muda tu! I am off!
 
Wanamkimbizakimbiza ili wapige kiulaini sana
Washamsoma. Tusishangae kusikia tena mishe za ESCROW!
Nchi ime mshinda akirudi ni kusign tu ma pepar bila ata kusoma awahi safari nyingine
Na hapa ndipo atakapopigwa. Yeye anasema anaangalia graphs. Style hii ya uongozi haifai nchi kama yetu hii ambayo majority ya wafanyakazi wana mindset za kipigaji. Anapaswa aende field!
 
Washamsoma. Tusishangae kusikia tena mishe za ESCROW! Na hapa ndipo atakapopigwa. Yeye anasema anaangalia graphs. Style hii ya uongozi haifai nchi kama yetu hii ambayo majority ya wafanyakazi wana mindset za kipigaji. Anapaswa aende field!
Kwa nini unafikia hitimisho tutapigwa? Tusubiri CAG alete ripoti tusiwe tunafikiri tu kwamba tutapigwa au la
 
HUYU MAMA NAE LINI ATAANZA SAFARI ZA NCHI ZENYE TIJA
 
Kwa nini unafikia hitimisho tutapigwa? Tusubiri CAG alete ripoti tusiwe tunafikiri tu kwamba tutapigwa au la
Ukiijua mifumo ya Serikali zetu, unajua tu, nini kitatokea! Lakini historia ni mwalimu mzuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…