Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo kwenye hafla ya utoaji tuzo, Rais Samia ametangaza kwamba kwanzia mwaka kesho tuzo hizo hazitakuwa chini ya TRA lakini zitakuwa chini ya Rais.
Rais Samia amesema kuwa lengo la kufanya hivyo ni kuzipa tuzo hizo hadhi kubwa zaidi