Mindyou JF-Expert Member Joined Sep 2, 2024 Posts 1,869 Reaction score 4,877 Jan 23, 2025 #1 Wakuu, Akiwa anazungumza leo kwenye hafla ya utoaji tuzo, Rais Samia ametangaza kwamba kwanzia mwaka kesho tuzo hizo hazitakuwa chini ya TRA lakini zitakuwa chini ya Rais. Rais Samia amesema kuwa lengo la kufanya hivyo ni kuzipa tuzo hizo hadhi kubwa zaidi Your browser is not able to display this video.
Wakuu, Akiwa anazungumza leo kwenye hafla ya utoaji tuzo, Rais Samia ametangaza kwamba kwanzia mwaka kesho tuzo hizo hazitakuwa chini ya TRA lakini zitakuwa chini ya Rais. Rais Samia amesema kuwa lengo la kufanya hivyo ni kuzipa tuzo hizo hadhi kubwa zaidi Your browser is not able to display this video.
balimar JF-Expert Member Joined Sep 18, 2015 Posts 7,743 Reaction score 13,657 Jan 23, 2025 #2 Mwaka huu kuna uchaguzi tuombe ashinde walipa kodi mashughuli wapate hii bahati
Aiylan wasalan JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 730 Reaction score 1,478 Jan 23, 2025 #3 Rais wa Tuzo..
O OgaBoy JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 1,531 Reaction score 2,140 Jan 23, 2025 #4 Sasa anasemajeambo ya mwakani inamana lazima ashinde ila si taraja?