Bra-joe JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,888 Reaction score 1,570 Dec 2, 2025 #1 Mama Samia. Makamu wa Rais wa kwanza mwanamke Tanzania. Rais wa kwanza kuwa dv4 shule ya upili. Rais wa kwanza kuwahi kupata asilimia zaidi ya 97 uchaguzi mkuu. Rais wa kwanza kuingia madarakani baada ya watu wengi kufa, kuumia, mali kuharibiwa na maelfu kukamatwa na kufunguliwa kesi za uhaini. Rais wa kwanza kukataliwa na Watanzania waziwazi. Atakuwa Rais wa kwanza kujiuzulu, kukimbia nchi au kupinduliwa. Atakuwa Rais wa kwanza kushtakiwa kwa makosa aliyoyafanya akiwa madarakani.
Mama Samia. Makamu wa Rais wa kwanza mwanamke Tanzania. Rais wa kwanza kuwa dv4 shule ya upili. Rais wa kwanza kuwahi kupata asilimia zaidi ya 97 uchaguzi mkuu. Rais wa kwanza kuingia madarakani baada ya watu wengi kufa, kuumia, mali kuharibiwa na maelfu kukamatwa na kufunguliwa kesi za uhaini. Rais wa kwanza kukataliwa na Watanzania waziwazi. Atakuwa Rais wa kwanza kujiuzulu, kukimbia nchi au kupinduliwa. Atakuwa Rais wa kwanza kushtakiwa kwa makosa aliyoyafanya akiwa madarakani.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Dec 3, 2025 #2 Hatari sana... Cc: Mahondaw