Mkutano huo unatarajia kuchagua Mwenyekiti Mpya wa Umoja wa Afrika kwa mwaka 2025 atakayechukua nafasi ya Mwenyekiti wa sasa Jamhuri ya Kiislamu ya Mauritania.
Hii mikutano huwa haina tija, kwasababu haina collective solution, kila nchi inajipapmbania kivyake sielewi kwanini wanakutana, nadhani wangetusaidia walipa kodi kama wangetumia mawasiliano ya computer kila mmoja akiwa kwake.