Rais Samia kuhusu 'SU Tv' umekosea, kwakuwa ni mwanzo tunakukumbusha na kukusamehe

Hata hayati hakuwa msafi kama alivyotaka watu wamuone. Aliweza kutumia vizuri hekima ya kuwa na kauli yenye kumuonyesha kwamba na yeye ni sehemu ya wahangaikaji wengi.

Udhaifu wa Mama Samia ni kwamba wapo wanaume wawili ambao hawezi kuukwepa ushawishi wao, JK na mume wake. Kama mume wake ni mfanyabiashara mkubwa basi ule ushawishi wa wafanyabiashara mbele ya watendaji wa serikali na mamlaka zake utarudi kama awamu ya nne.

JPM aliweza kuwafanya watendaji wake wakawa na nguvu ya kimaadili, waliweza kukwepa vishawishi vya wenye pesa na hivyo mamlaka zao zikawa na jeuri ya kupeleka gawio hazina.
 
Mwendazake tuliambiwa ana share voda lini ali-declare?
Always mkuu read to understood,soma tena mchango wangu kwenye mada hii,then you can apply your mind na ukajibia hoja sio mimi.
 
Safi mkuu ila hii ni tafsiri yako sio yangu au ya mwingine
 
Rais kapotoka, aibu! Kwa nini rais amiliki chombo cha habari? Aweke mali zake zote hadharani? Watanzania tuna hasara sana na hawa waswahili waswahili na ujanja ujanja wao. Ndio sababu amegoma kuhamia Dodoma anaangalia interest zake zaidi.
Rais akikaa Dodoma anaongeza nini kwenye pato la nchi au lako?
 
Jiue msukuma,

Na asingekitaja baadae mngekijua mngesema hela ya serikali kafungua kituo Cha Tv , Dikteta. mbona yeye alikuwa ana makampuni kibao anayapa tenda za serikali,kina Manyanga company,,
Ongezea na milembe
 
Ni sahihi lakini hata asingekitaja kwa jina bado wasaka fursa tungechimba tukijue Ili iturahisishie kwenye michongo yetu πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Huwezi kuweka noun na pronoun kwa pamoja yaani [\B]President Samia she is very honest[\] badala yake inatakiwa iwe President Samia is very honest

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Likely hana nia mbaya.

Just some naivety on her part
Mmh. May be so may be not lakini kwenye business tunasema amedhamiria kupata unfair advantage over other media houses ambayo haina tofauti na cartels whether through sheer naivety or calculated manipulation..
 
Mbona mashamba yake ya mbogamboga na karafuu hamjadili.
TV yenyewe amesema inamtia hasara.Msimshambulie

Mmdai ripoti ya BOT na wale waliotaka kumuwekea Giza kuwa Rais kwa mjibu wa katiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…