Rais Samia kuhutubia kwenye Mkutano wa FOCAC nchini China

Nyakijooga

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
276
Reaction score
473

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Viongozi Wakuu wa nchi za Afrika na China, mkutano unaotarajiwa kuanza Septemba 4-6, 2024 nchini China.

Atashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) ambapo anatarajiwa kuhutubia ufunguzi wa Mkutano wa FOCAC.

Atafanya mazungumzo na Rais China, Xi Jinping na kushuhudia uwekaji saini wa Hati za Makubaliano ya Uboreshaji wa Reli ya TAZARA.

Atakutana na makampuni na wawekezaji kutoka China ili kuhamasisha uwekezaji zaidi nchini Tanzania.


PIA SOMA
- Rais Samia awasili China kushiriki mkutano wa FOCAC

- Je, ni kwa jinsi gani FOCAC inaweza kudumisha uhai wake kwa muda mrefu?

- Karne ya 21 kushuhudia maendeleo ya pamoja na ufufuaji wa China na bara la Afrika kupitia FOCAC
 
A
ll this is rubbish kama watu wanatekwa hapa. where is Soka et al?
 
Bora aende mwenyewe, isiwe mara zote ni kuwatuma akina "on behalf of my plesidenti".
 
 
Mko wengi
 
kila la kheri kipenzi cha waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan,

ama kwa hakika umeifungua Tanzania miongoni mwa maTaifa ya ulimwengu..

na kwa jitiahada na dhamira yako njema, kama Taifa, tunaheshimika sana sasa, tunathaminika mno na tunaaminika kwelikweli Duniani kote

Mungu Ibariki Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…