Rais Samia, kuna Fursa nyingine huko 'Kazungula Bridge'

Hakika kabisa
 
Botwsana hawezi kutumia bandari ya Dar , Tayari kuna port efficient na zisizo na urasimu kama durban na walvis bay.
 
SSH yeye kipaumbele chake ni kufungulia nchi kila takataka iingie haya ya kuweza jinsi ya kuboresha miundombinu ili kuunganisha biashara ni matatizo yenu wananchi, pambaneni na hali yenu.
 
Mada nzuri mno welldone mtoa hoja ILA daraja hili la Kazungula ni bad news kwetu,sasa DRC itasukuma zaidi Mizigo kule kuliko kuileta hapa Dar es salaam port,tumechelewa mno maana future ya Africa kibiashara ni DRC
Kujenga uchumi na ku dominate uchumi inahitaji kuthubutu na kutumia akili sana kwenye kuangalia fursa na kuweka mazingira Bora zaidi kwa upande wako. Hili tukilitumia vizuri hakuna wa kututisha
 
SSH yeye kipaumbele chake ni kufungulia nchi kila takataka iingie haya ya kuweza jinsi ya kuboresha miundombinu ili kuunganisha biashara ni matatizo yenu wananchi, pambaneni na hali yenu.
Embu acha dharau kwa mama yetu kutokana na chuki zako za kiburundi kijana
 
Botwsana hawezi kutumia bandari ya Dar , Tayari kuna port efficient na zisizo na urasimu kama durban na walvis bay.
Tunaweza chukua ilo soko kama tukitumia akili zetu vizuri.
 
Hai
Haiwezekani Kwa mujibu wa akili yako fupi na ndogo. Kwa wenye akili kubwa inawezekana
 
Embu acha dharau kwa mama yetu kutokana na chuki zako za kiburundi kijana
Si ndio ukweli huo, kipaumbele chake ni kufungulia nchi kila takataka iingie, haya ma miradi yenu ni matatizo yetu wananchi tu, Rais anashinda angani na kwenye matamasha kila uchwao, anamaliza 2months saivi haongelei miradi ya kimkakati anaongelea ujinga ujinga tu wa kuridhisha watu as if hayo ndio matatizo ya watanzania haswa.
 
Tunaweza chukua ilo soko kama tukitumia akili zetu vizuri.
Malawi jirani zetu kabisa mizigo ya ulaya wanashushia Namibia,
Walivis bay ni bandari yenye ufanisi wa juu sana na ni cheap port vile vile.
Walvis bay meli ya magari ikitia nanga alfajiri , mchana magari yameshatoka mnaendesha uraiani,
Copper ya Zambia tuliyokuwa hadi tunaisafirisha kwa ndege kule mtwara sasa hivi inasafirishwa kupitia walvis bay
 
Hai

Haiwezekani Kwa mujibu wa akili yako fupi na ndogo. Kwa wenye akili kubwa inawezekana
Kuwaza Songwe na Mbeya ndio akili kubwa? Hata kifaranga cha kuku kina akili ya kutafuta chakula ardhini..lkn si ile ya kumkwepa mwewe asimshukie.
 
Kuwaza Songwe na Mbeya ndio akili kubwa? Hata kifaranga cha kuku kina akili ya kutafuta chakula ardhini..lkn si ile ya kumkwepa mwewe asimshukie.
Endelea kutambika kwenye kabuli la mabati hapo kijijini chato na ukimaliza rudi kwenu Burundi. Mada hii ni kubwa sana kwako hata kuweza kuchangia
 
Na hapa ndo hoja ya Bandari ya Bagamoyo inapoingia. Bandari yenye ufanisi kwa maendeleo ya nchi yetu.

Kuna Maboresho makubwa sana kuhusu Bandari ya Dar es Salaam nayo tukipata muda tutaandika humu.
 
Hayo ni Kwa mujibu wa akili yako. Kwa unavyodhani wewe Rais anatakiwa kuongelea hovyo hovyo miradi ya kimkakati ili iweje??? Kwani kwenye vikao vya cabinet wanafanya nini???

Hujui kiongozi wa kisiasa anapata namlaka ya kuongoza kutoka Kwa watu?? Sasa kwa nini asiongoze kwa matakwa ya watu anaowaongoza??? Mlishazoea ufedhuli na ushetani ndo mkazani ndo maisha sasa ndo mjue haitakiwi kuwa ivyo.
 
Niondolee ufedhuli hapa, mwambieni Jumong wenu aendelee kufungulia kila takataka iingie nchini, ndio akili zake zimeishia hapo, what a waste kwa taifa.
 
Na hapa ndo hoja ya Bandari ya Bagamoyo inapoingia. Bandari yenye ufanisi kwa maendeleo ya nchi yetu.

Kuna Maboresho makubwa sana kuhusu Bandari ya Dar es Salaam nayo tukipata muda tutaandika humu.
Ufanisi hauanzi na maneno kama haya , tumezoea porojo na ndio shida yetu
Bagamoyo hata ikiwa bandari kubwa kama bado itakuwa gharama sawa na bandari ya dar , haitafanikiwa , tunapozungumzia efficiency ni pamoja na gharama za bandari husika
Nani ashushe au kupakia mzigo kwenye bandari ambayo gharama tu ni mara tatu zaidi ya bandari nyingine ? Hapo bado hajapambana na urasimu!
 
Lord ushauri wako ni mzuri sana ingawaje uzi kama huu wa maono ya maendeleo unakuwa na wachangiaji wachache.

Lakini hao wachache walopitia nadhani kama vile Mbunge Shabiby leo kalizungumzia sana suala la bandari kavu. Naye Naibu Spika Tulia amelisemea barabara ya TANZAM na reli ya TAZARA kuboreshwa na kutumia umeme.

Shukurani nyingi zikufikie ndugu Lord
 
Naunga mkono daraja kwa malengo ya baadae, lakini kwa sasa hivi tunachelewa sana kujihusisha kati yetu na DRC.

Inatubidi tuweke juhudi kubwa kufanya biashara na nchi hii kwa karibu zaidi kuliko ilivyo sasa.

Mimi napendekeza, kwa malengo ya muda mfupi (5 years); pawepo na meli na bandari kadhaa, tokea kusini na mpaka na Zambia hadi mpakani na Burundi.

Sambamba na kuwa na meli kadhaa na bandari, tutumie njia kavu inayopitia Burundi na Rwanda, na hata Uganda kuingia kwenye soko la DRC.

Hii ina maana kwamba, lazima tuwe na Bandari zinazofanya kazi vizuri na Barabara pamoja na reli.

Bandari ya Dar es Salaam pekee haitamudu.

Nchi yetu inayofursa hii adhimu sana tuliyopewa na Mwenyezi Mungu; sasa ni wakati tuitumie ili itusaidie kuleta mabadiliko chanya kwetu.
 
SSH yeye kipaumbele chake ni kufungulia nchi kila takataka iingie haya ya kuweza jinsi ya kuboresha miundombinu ili kuunganisha biashara ni matatizo yenu wananchi, pambaneni na hali yenu.
Nadhani mwana mama huyu itabidi atulize kichwa hasa, maanake inaelekea haya mambo mazito bado hajayaweka maanani sana.

Inabidi akae chini na atafakari kwa makini sana ni mambo yapi hasa ya kimkakati yanayohitajika nchi yetu hii iyatekeleze.

Asikimbilie kuleta wakodisha vishamba vya kulima mahindi na kuyavusha kwenda kuuzwa huko kwa wawekezaji njaa hao.
Kama anataka kukomalia hilo, basi awawezeshe wakulima wetu, kazi hiyo wataifanya kwa umakini mkubwa kuliko hao anaowakimbilia waje hapa kama madalali.
 
Kama MWENDAZAKE alikuwa anaifuatilia hadi "SHILAWADU" sembuse Mama iwe ngumu kuingia Jamiiforum ?!

Kwa wasiyojua "JAMIIFORUM" ni miongoni mwa vyanzo muhimu sana vya taarifa vinavyotegemewa na serikali .

Humu kuna zaidi ya 89.3% ya viongozi wakuu wa serikali .

Kwamuhitimisha na bila kujali itikadi na mlengo wa KISIASA wa mtoa mada naomba tu niseme kuwa jamaa amewaza kwa upana sana na kwa nyongeza nikwamba jamaa ameiwasirisha mada kwa viwango vya kimataifa na nimtie moyo kwamba yeye ni miongoni mwa watu wanauoutumia vyema sana ufahamu wao kwenye eneo zima la kufikiri .

Kwakifupi tu :-
Tanzania inauwezo wa kuyatekeleza hayo yote aliyoyaeleza hata tu ndani ya miaka mitano kama tu tutaamua kwa pamoja kuyatekeleza .

Japo siyo kwa umuhimu .

Mzeebaba ndani ya miaka mitano na miezi sita na siku ishirini na tisa alizokaa ikulu ameongeza deni la Taifa kwa kiasi cha Tsh Trillion 30.8 according to CAG report ,hiki kiasi ni mara sita ya viongozi wenzake wote waliyomtangulia , tusipanic , hebu turelax maana ndiyo ishakuwa hivyo , hebu jengeni picture tena kwa utulivu wenu wa chooni tu [emoji2960] unadhani maendeleo anayoyaeleza mwamba hapo yanagharimu kiasi gani cha pesa? Unadhani maendeleo yanayohubiriwa kutendwa na mzeebaba yanamaliza hata trillion 10? Let's wake up guys tusijichukulie poa , Taifa imara linajengwa na mipango na sera imara na dhamira mashubuti .

Don't understimate yourself and limit your thinking .

Hata inzi anaweza kutengeneza asali siku atakayoacha ufala .


Labda kama kuna chawa wake lakin yeye kama yeye mhh sidhani!
 
a editor, BBC World Service
A new bridge over the Zambezi River linking Botswana and Zambia has been officially opened and should boost trade in the region.
At a cost of more than $250m (£177m), the Kazungula road and rail bridge was paid for by the African Development Bank and a loan from the Japanese government.

Before it was built cargo had to be unloaded from lorries and taken across on barges.
Truck drivers can also now avoid long waits at Zimbabwe's border.
The Botswana government tweeted this shot of the 1km-long (0.6 mile) bridge earlier today:

Social embed from twitter​


ReportReport this social embed, make a complaint
Other countries in the region should get an economic boost as it'll speed up trade between South Africa's ports and countries to the north, including the Democratic Republic of Congo.

And there's a reason why it's curved - the former President of Zimbabwe Robert Mugabe was opposed to the project. So, in order to avoid encroaching on Zimbabwean territory, the bridge couldn't be built in a straight line.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…