Mindyou JF-Expert Member Joined Sep 2, 2024 Posts 1,869 Reaction score 4,877 Mar 8, 2025 #1 Wakuu, Akiwa kwenye maashimisho ya kitaifa ya siku ya wanawake, Rais Samia amesema kuwa pamoja na harakati za usawa baina ya mwanamke na mwanaume zinazoendelea lakini huwa kuna mambo hayana usawa Your browser is not able to display this video.
Wakuu, Akiwa kwenye maashimisho ya kitaifa ya siku ya wanawake, Rais Samia amesema kuwa pamoja na harakati za usawa baina ya mwanamke na mwanaume zinazoendelea lakini huwa kuna mambo hayana usawa Your browser is not able to display this video.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Mar 8, 2025 #2 Ameeleweka
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Mar 8, 2025 #3 Anawafurahisha wahafidhina.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 9, 2025 #4 Hakunaga usawa wa 50/50 kati ya mwanaume na mwanamke... Cc: Mahondaw