hamada umelewa JF-Expert Member Joined Dec 17, 2017 Posts 428 Reaction score 791 Aug 16, 2023 #21 Kabla hajamtoa huyo balozi atoke yeye kwanza.
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Aug 16, 2023 #22 Bandari zetu ni URITHI wetu, hazitauzwa, kubinafsishwa Wala kugawiwa Bure Kwa wageni. Kununua bandari zetu ni sawa na kufunga NDOA na jini, utulivu ndani ya NDOA hautakuwepo!!! Kataa wahuni!!!
Bandari zetu ni URITHI wetu, hazitauzwa, kubinafsishwa Wala kugawiwa Bure Kwa wageni. Kununua bandari zetu ni sawa na kufunga NDOA na jini, utulivu ndani ya NDOA hautakuwepo!!! Kataa wahuni!!!