BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
RAIS SAMIA KUONGOZA KILELE CHA MIAKA MIWILI YA AWAMU YA 6- LEO SAA 4 ASUBUHI HII.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumapili Machi 19, 2023 atakuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha miaka miwili ya Uongozi wa Awamu ya 6 unaoongozwa na yeye mwenyewe.
Maadhimisho hayo yameandaliwa na Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) na yanafanyika kwenye uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam kuanzia saa 4 asubuhi hii. Fuatilia mubashara kupitia Televisheni na mitandao ya kijamii.