Una hojaMtei alikuwa Gavana, Waziri wa Fedha, pia muasisi wa Chadema, kwa vyeo vyake Raisi anaweza kumzika, ila kwa jinsi hali ilivyo wangemkaushia tuu huyo mama. Mbowe bado ana hasira. 😊
Nje ya mada: Binafsi waga simwamini mwanasiasa yeyote yule, kwa namna yeyote ile. Siasa ni michongo ya watu.
Mbowe ni fala sana yule.Inasemekana Mbowe kama msemaji wa familia amemualika Rais Samia kuongeza protokali za mazishi ya Mzee Mtei
Licha ya kuwepo mvutano wa Serikali na Chadema katika mambo mengi, lakini Mbowe bila kuwashirikisha Chadema amefanya mualiko huo
1. Lissu Mwenyekiti wa Chadema yupo gerezani karibia mwaka Sasa Kwa kesi ya kusingiziwa
2. Chadema imefungiwa kufanya siasa Kwa muda mrefu Sasa
3 Wanachama na viongozi wa Chadema wanapitia harassment nyingi
Binafsi naona huu msiba unawahusu zaidi chadema, wanatakiwa wao washirikishwe kila hatua ya kumzika mwasisi wa Chama chao
Unajua watu hawajui tu. Huyu jamaa hakuna mali aliyoongeza juu ya alizopewa na baba yake ? Hadi Billcanas na ofisi za Tanzania Daima ni jengo la Marehemu Mzee Aikaeli Mbowe. Huyu jamaa aliacha shule na kuishia form six. Lissu akamshawishi arudi shule juzi juzi ndio akatafuta degree Uingereza. Huyu mwamba hakustahili hata kuwa mwenyekiti wa chama. Tunaipa nguvu sana siasa. Na huko kwenye siasa wanaoweza kuingia ni watu wasio na vigezo.Inasemekana Mbowe kama msemaji wa familia amemualika Rais Samia kuongeza protokali za mazishi ya Mzee Mtei
Licha ya kuwepo mvutano wa Serikali na Chadema katika mambo mengi, lakini Mbowe bila kuwashirikisha Chadema amefanya mualiko huo
1. Lissu Mwenyekiti wa Chadema yupo gerezani karibia mwaka Sasa Kwa kesi ya kusingiziwa
2. Chadema imefungiwa kufanya siasa Kwa muda mrefu Sasa
3 Wanachama na viongozi wa Chadema wanapitia harassment nyingi
Binafsi naona huu msiba unawahusu zaidi chadema, wanatakiwa wao washirikishwe kila hatua ya kumzika mwasisi wa Chama chao
Kweli kabisaUnajua watu hawajui tu. Huyu jamaa hakuna mali aliyoongeza juu ya alizopewa na baba yake ? Hadi Billcanas na ofisi za Tanzania Daima ni jengo la Marehemu Mzee Aikaeli Mbowe. Huyu jamaa aliacha shule na kuishia form six. Lissu akamshawishi arudi shule juzi juzi ndio akatafuta degree Uingereza. Huyu mwamba hakustahili hata kuwa mwenyekiti wa chama. Tunaipa nguvu sana siasa. Na huko kwenye siasa wanaoweza kuingia ni watu wasio na vigezo.
Kinachoniuma zaidi kuna kiwanja pale moshi mjini hakijajengwa. Baba yake alipewa na Nyerere kama zawadi NHC walikuwa wanakifuatiliwa 2010s wakaambiwa ni mali ya Marehemu Mzee Aikaeli Mbowe. Hata kuhamisha hati jamaa hakufanya ikabidi waipe taaarifa familia. Mara ya mwisho 2023 Februari bado hawajajenga kipo wazi.