Rais Samia kuongoza Vikao vya Kamati kuu na Halmshauri kuu ya CCM Taifa June 29-30

Jeshi la polisi limeanza upelelezi,kwa hiyo tusubiri ripoti ya jeshi la polisi.
Kwanini unaamini upelelezi wa jeshi la polisi na ripoti zao za uchunguzi, ikiwa haya matukio ya kutekwa na kuteswa yamekuwa yakijirudia mara kwa mara licha ya upelelezi wao?
 
Nina imani na jeshi letu la polisi na weledi wake katika kutekeleza majukumu yake.na naamini kuwa litafanya kazi yake na kuja na ripoti
 
Ndugu zangu Watanzania,

Habari ni kuwa Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan Mwenyekiti wa CCM Taifa, ambaye pia ndiye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama, ataongoza vikao vya Kamati kuu na Halmshauri kuu ya CCM Taifa Tarehe 29 na 30 Mwezi huu jijini Dar.

Vikao hivyo vitatanguliwa na vikao vya Secretarieti ya CCM vitakavyoketi na kufanyika Tarehe 27 na 28 Mwezi huu jijini.

Chama ni vikao, huko ndiko masuala mbalimbali huzungumzwa na mipango na mikakati mbalimbali kuwekwa katika kukiimarisha chama na kukipa nguvu kuanzia ngazi ya shina, Tawi, kata, wilaya, mkoa mpaka Taifa ndio maana CCM Inaendelea kuimarika na kuwa na nguvu kila uchwao.

Tofauti na vyama kama CHADEMA vinavyoendelea kudumaa kila uchwao na kupoteza muelekeo,vinakwenda tu utafikiri gari lililokatika breki pamoja na usukani.hakuna cha utaratibu wala mfumo unaoeleweka ,ndio maana unakuta kila mtu anajadili na kuweka msimamo wake juu ya jambo fulani kupitia ukurasa wake wa kijamii Kabla hata ya vikao rasmi vya chama.

Utaona kiongozi huyu anatoka hadharani mbele ya camera anaongea mambo yaliyotakiwa kuzungumzwa na kujadiliwa kwenye vikao vya ndani vya chama,anaita waandishi wa habari na kuanza kuzungumza yanayomjia kichwani mwake tu bila breki ya mdomo.

utoto wa namna hiyo huwezi kuukuta ndani ya CCM wala kuona au kusikia ukifanyika..ndio maana CCM kinaitwa chama kiongozi na tumaini la watanzania.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

View attachment 3027572
Uchawa mtupu, hongo ziko waziwazi
 
Kidumu chama cha mapinduzi.......
Tobiko ccm tobiko
 
Katika hali ya sasa na tension zote hizi nchini utashangaa kusikia agenda za hicho kikao......

1. Kufungua kikao

2. Kupokea ripoti ya utendaji wa ziara ya Rais Korea

3. Kukemea chokochoko za kumzuia rais znz kuongeza muda

4. Chama kumpongeza Rais

5. Kufunga kikao
 
Kaa kwa kutulia utajulishwa kitakachojili katika kikao hicho
Uwezo wao wa kufikiri, kutafsiri,kuchanganua mambo ni mdogo, na wamekwenda mbali kufikiria kuwa wameshika Dola,hivyo hawawazi mbali. Muda unawafia.

Kwa sasa natuna koelekea nchi Iko mikononi mwa Gen-Z ,suala la kushika Dola anzeni kulisahau.

Habari za neno AMANI NA UTULIVU anzeni kulisahau,jifunzeni kupitia Kenya - KANU ,( Gen- Z) na South Africa - ANC ( Vijana).
 
There are several effective ways to increase political engagement and representation of Gen-Z Tanzanians in the decision-making process:

1. Youth-focused civic education programs:
- Organize workshops, seminars, and training sessions to educate Gen-Z Tanzanians on the political system, their civic rights and responsibilities, and the importance of active participation.
- Collaborate with schools, youth organizations, and community leaders to reach more young people.

2. Lowering the voting age:
- Consider lowering the voting age to 16 or 17 to allow more Gen-Z Tanzanians to directly participate in elections and have a say in the future of their country.
- This has been implemented in some countries and has shown to increase youth political engagement.

3. Quota systems and reserved seats:
- Implement quota systems or reserved seats in elected bodies (e.g., parliament, local councils) to ensure a minimum representation of Gen-Z Tanzanians.
- This can help amplify the voices of young people in the decision-making process.

4. Youth-led advocacy and activism:
- Support and empower Gen-Z Tanzanians to form their own advocacy groups, movements, and organizations to champion their interests and priorities.
- Provide them with the necessary resources, training, and platforms to effectively engage with policymakers and the broader public.

5. Mentorship and leadership development programs:
- Establish mentorship programs that connect Gen-Z Tanzanians with experienced political leaders, civil servants, and community influencers.
- Offer leadership development workshops and training to equip young people with the skills and knowledge needed for effective political participation.

6. Inclusive decision-making processes:
- Ensure that government and political institutions actively seek out and incorporate the perspectives of Gen-Z Tanzanians in policy formulation, implementation, and evaluation.
- Create formal and informal channels for young people to provide input and feedback on issues that affect them.

By implementing these strategies, Tanzania can empower and engage its Gen-Z population, fostering a more inclusive and representative decision-making process that reflects the aspirations and ideas of the country's future leaders.
 
Source or characteristics of the Gen-Z population in Kenya based on broader trends and research:

1. Age Range:
Generation Z in Kenya typically refers to the population born between the mid-to-late 1990s and the early 2010s, roughly spanning from around 1997 to 2012.

2. Size of the Population:
Kenya has a relatively young population, with a median age of around 20 years old. This suggests that the Gen-Z cohort likely makes up a significant portion of the Kenyan population.

3. Urbanization:
Like many other African countries, Kenya has experienced rapid urbanization, with a growing number of Gen-Z Kenyans living in urban centers, which can influence their perspectives and engagement with social and political issues.

4. Access to Technology:
Kenyan Gen-Z individuals have grown up in the digital age and likely have relatively high access to smartphones, the internet, and social media platforms compared to older generations.

5. Educational Attainment:
There have been efforts to improve access to education in Kenya, which may have positive impacts on the educational attainment and skills of the Gen-Z population.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Habari ni kuwa Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan Mwenyekiti wa CCM Taifa, ambaye pia ndiye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama, ataongoza vikao vya Kamati kuu na Halmshauri kuu ya CCM Taifa Tarehe 29 na 30 Mwezi huu jijini Dar.

Vikao hivyo vitatanguliwa na vikao vya Secretarieti ya CCM vitakavyoketi na kufanyika Tarehe 27 na 28 Mwezi huu jijini.

Chama ni vikao, huko ndiko masuala mbalimbali huzungumzwa na mipango na mikakati mbalimbali kuwekwa katika kukiimarisha chama na kukipa nguvu kuanzia ngazi ya shina, Tawi, kata, wilaya, mkoa mpaka Taifa ndio maana CCM Inaendelea kuimarika na kuwa na nguvu kila uchwao.

Tofauti na vyama kama CHADEMA vinavyoendelea kudumaa kila uchwao na kupoteza muelekeo,vinakwenda tu utafikiri gari lililokatika breki pamoja na usukani.hakuna cha utaratibu wala mfumo unaoeleweka ,ndio maana unakuta kila mtu anajadili na kuweka msimamo wake juu ya jambo fulani kupitia ukurasa wake wa kijamii Kabla hata ya vikao rasmi vya chama.

Utaona kiongozi huyu anatoka hadharani mbele ya camera anaongea mambo yaliyotakiwa kuzungumzwa na kujadiliwa kwenye vikao vya ndani vya chama,anaita waandishi wa habari na kuanza kuzungumza yanayomjia kichwani mwake tu bila breki ya mdomo.

utoto wa namna hiyo huwezi kuukuta ndani ya CCM wala kuona au kusikia ukifanyika..ndio maana CCM kinaitwa chama kiongozi na tumaini la watanzania.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

View attachment 3027572
Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto
 
Back
Top Bottom