Kwanini unaamini upelelezi wa jeshi la polisi na ripoti zao za uchunguzi, ikiwa haya matukio ya kutekwa na kuteswa yamekuwa yakijirudia mara kwa mara licha ya upelelezi wao?Jeshi la polisi limeanza upelelezi,kwa hiyo tusubiri ripoti ya jeshi la polisi.
Nina imani na jeshi letu la polisi na weledi wake katika kutekeleza majukumu yake.na naamini kuwa litafanya kazi yake na kuja na ripotiKwanini unaamini upelelezi wa jeshi la polisi na ripoti zao za uchunguzi, ikiwa haya matukio ya kutekwa na kuteswa yamekuwa yakijirudia mara kwa mara licha ya upelelezi wao?
Uchawa mtupu, hongo ziko waziwaziNdugu zangu Watanzania,
Habari ni kuwa Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan Mwenyekiti wa CCM Taifa, ambaye pia ndiye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama, ataongoza vikao vya Kamati kuu na Halmshauri kuu ya CCM Taifa Tarehe 29 na 30 Mwezi huu jijini Dar.
Vikao hivyo vitatanguliwa na vikao vya Secretarieti ya CCM vitakavyoketi na kufanyika Tarehe 27 na 28 Mwezi huu jijini.
Chama ni vikao, huko ndiko masuala mbalimbali huzungumzwa na mipango na mikakati mbalimbali kuwekwa katika kukiimarisha chama na kukipa nguvu kuanzia ngazi ya shina, Tawi, kata, wilaya, mkoa mpaka Taifa ndio maana CCM Inaendelea kuimarika na kuwa na nguvu kila uchwao.
Tofauti na vyama kama CHADEMA vinavyoendelea kudumaa kila uchwao na kupoteza muelekeo,vinakwenda tu utafikiri gari lililokatika breki pamoja na usukani.hakuna cha utaratibu wala mfumo unaoeleweka ,ndio maana unakuta kila mtu anajadili na kuweka msimamo wake juu ya jambo fulani kupitia ukurasa wake wa kijamii Kabla hata ya vikao rasmi vya chama.
Utaona kiongozi huyu anatoka hadharani mbele ya camera anaongea mambo yaliyotakiwa kuzungumzwa na kujadiliwa kwenye vikao vya ndani vya chama,anaita waandishi wa habari na kuanza kuzungumza yanayomjia kichwani mwake tu bila breki ya mdomo.
utoto wa namna hiyo huwezi kuukuta ndani ya CCM wala kuona au kusikia ukifanyika..ndio maana CCM kinaitwa chama kiongozi na tumaini la watanzania.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
View attachment 3027572
Hongo za nini au umechanganyikiwa.Uchawa mtupu, hongo ziko waziwazi
Kaa kwa kutulia utajulishwa kitakachojili katika kikao hichoHapo ni Kikao cha kumshughulikia MPINA.
Kidumu chama cha mapinduzi.......Ndugu zangu Watanzania,
Habari ni kuwa Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan Mwenyekiti wa CCM Taifa, ambaye pia ndiye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama, ataongoza vikao vya Kamati kuu na Halmshauri kuu ya CCM Taifa Tarehe 29 na 30 Mwezi huu jijini Dar.
Vikao hivyo vitatanguliwa na vikao vya Secretarieti ya CCM vitakavyoketi na kufanyika Tarehe 27 na 28 Mwezi huu jijini.
Chama ni vikao, huko ndiko masuala mbalimbali huzungumzwa na mipango na mikakati mbalimbali kuwekwa katika kukiimarisha chama na kukipa nguvu kuanzia ngazi ya shina, Tawi, kata, wilaya, mkoa mpaka Taifa ndio maana CCM Inaendelea kuimarika na kuwa na nguvu kila uchwao.
Tofauti na vyama kama CHADEMA vinavyoendelea kudumaa kila uchwao na kupoteza muelekeo,vinakwenda tu utafikiri gari lililokatika breki pamoja na usukani.hakuna cha utaratibu wala mfumo unaoeleweka ,ndio maana unakuta kila mtu anajadili na kuweka msimamo wake juu ya jambo fulani kupitia ukurasa wake wa kijamii Kabla hata ya vikao rasmi vya chama.
Utaona kiongozi huyu anatoka hadharani mbele ya camera anaongea mambo yaliyotakiwa kuzungumzwa na kujadiliwa kwenye vikao vya ndani vya chama,anaita waandishi wa habari na kuanza kuzungumza yanayomjia kichwani mwake tu bila breki ya mdomo.
utoto wa namna hiyo huwezi kuukuta ndani ya CCM wala kuona au kusikia ukifanyika..ndio maana CCM kinaitwa chama kiongozi na tumaini la watanzania.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
View attachment 3027572
Mpina amejikatia tamaa alikwisha shughulikiwa kitamboHapo ni Kikao cha kumshughulikia MPINA.
Ndo maana hakuja leo kwa wale waganga wa kienyeji hapa bujora?? Wazee wa matunguli walichukia Sana Leo mpka watu tusuokua. Na hatia tunalogwa tu leo hapa kisesa! Kuna wachawi wengi mno walikusanyika hapa;Ziba masikio na ujipofue macho yako.
Katika hali ya sasa na tension zote hizi nchini utashangaa kusikia agenda za hicho kikao......
1. Kufungua kikao
2. Kupokea ripoti ya utendaji wa ziara ya Rais Korea
3. Kukemea chokochoko za kumzuia rais znz kuongeza muda
4. Chama kumpongeza Rais
5. Kufunga kikao
AaahaaaSafari za Nje ya nchi,jadilini pia.
Uwezo wao wa kufikiri, kutafsiri,kuchanganua mambo ni mdogo, na wamekwenda mbali kufikiria kuwa wameshika Dola,hivyo hawawazi mbali. Muda unawafia.Kaa kwa kutulia utajulishwa kitakachojili katika kikao hicho
Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome motoNdugu zangu Watanzania,
Habari ni kuwa Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan Mwenyekiti wa CCM Taifa, ambaye pia ndiye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama, ataongoza vikao vya Kamati kuu na Halmshauri kuu ya CCM Taifa Tarehe 29 na 30 Mwezi huu jijini Dar.
Vikao hivyo vitatanguliwa na vikao vya Secretarieti ya CCM vitakavyoketi na kufanyika Tarehe 27 na 28 Mwezi huu jijini.
Chama ni vikao, huko ndiko masuala mbalimbali huzungumzwa na mipango na mikakati mbalimbali kuwekwa katika kukiimarisha chama na kukipa nguvu kuanzia ngazi ya shina, Tawi, kata, wilaya, mkoa mpaka Taifa ndio maana CCM Inaendelea kuimarika na kuwa na nguvu kila uchwao.
Tofauti na vyama kama CHADEMA vinavyoendelea kudumaa kila uchwao na kupoteza muelekeo,vinakwenda tu utafikiri gari lililokatika breki pamoja na usukani.hakuna cha utaratibu wala mfumo unaoeleweka ,ndio maana unakuta kila mtu anajadili na kuweka msimamo wake juu ya jambo fulani kupitia ukurasa wake wa kijamii Kabla hata ya vikao rasmi vya chama.
Utaona kiongozi huyu anatoka hadharani mbele ya camera anaongea mambo yaliyotakiwa kuzungumzwa na kujadiliwa kwenye vikao vya ndani vya chama,anaita waandishi wa habari na kuanza kuzungumza yanayomjia kichwani mwake tu bila breki ya mdomo.
utoto wa namna hiyo huwezi kuukuta ndani ya CCM wala kuona au kusikia ukifanyika..ndio maana CCM kinaitwa chama kiongozi na tumaini la watanzania.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
View attachment 3027572
Ongezea hapo chura kiziwiMungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto
Akili yako ni ndogo sanaOngezea hapo chura kiziwi