Rais Samia kupokea ripoti ya CAG, Machi 28, 2021 saa nne asubuhi Dodoma

Ripoti inapokelewa bila makamu inawezekana bado wanabishana huko sisi tunachukulia poa tu.
 
Gersoni asante kwa taarifa, ila usha editi CV yako na ushaanza kutuma sehemu mbalimbali?
 
Jambo Jema sana hili, mi Nataka pia kusikia pesa ambayo imetumika juzi, Je, iliendana na bajeti??
 
Kuna wapumbavu walipoona Rais kafariki walianza kujichotea hela! Dawa yao ipo inachemka
 
Natamani hii ripoti iwe na mahesabu ya zile billions zinazodaiwa kuchotwa kwenye kibubu kwa ajili ya matibabu ya mzee wa nzengo...
 
Nisahihishe kama ntakosea kwan report ya CAG Huwa inajadiliwa mwezi wa nne au wa pili make bunge lijalo huwa ni la budget tu sasa nashangaaa kuona ndo anaipokea wakati ilitakiwa kupokelewa mwezi wa Pili kabla ya bunge kuanza la january to february.hii imekaaje wakuu? Au mama kaanza kutema cheche?kaziomba purposely kabisa?
 
Hii nchi ngumu sana mkuu, kuna wezi huko washafanya yao sasa tuwaache mpaka mwezi wa nne?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…