One Revolution
Member
- Aug 14, 2015
- 57
- 51
Umefanya vyema kumkumbusha mkuuGelsoni asante kwa taarifa, ila usha editi CV yako na ushaanza kutuma sehemu mbalimbali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umefanya vyema kumkumbusha mkuuGelsoni asante kwa taarifa, ila usha editi CV yako na ushaanza kutuma sehemu mbalimbali?
Hiyo ripoti vingi vimefichwa kwa amri ya meko,CAG wa meko ni sanamu tu hapo...amrudishe assad huyo wa meko arudi alipotokeaMhe.Rais kesho kupokea ripoti ya CAG.View attachment 1735972
Uyo alikuwa mtumishi wa umma hivyo akitoka hapo atarudi kwa muajiri wake pale TBCGelsoni asante kwa taarifa, ila usha editi CV yako na ushaanza kutuma sehemu mbalimbali?
Uko DODOMA ndo akina JOHN wawili walipoipatia deportiva la coruna ikawatafunaBora amehamia dodoma jamani hatutaki warudi dar
...mapongezi ya hovyoRipoti itajaa mauongo mauongo tu
Samia anatakiwaxateue CAG mwenye haiba kama ya prof. Assad...mapongezi ya hovyo
Hii report ilikua tayari ishaandaliwa kupokelewa na mzee pombe so haina taarifa za kutoshaHiyo ni hatua muhimu.....
ni kama vile muuza duka unakabidhiwa duka uuze lazima ufanye stock taking....
ujui kipi kipo....
fedha zipo ngapi
ili kuepuka kuchanganya hesabu
Hesabu zinazotolewa taarifa sio za mwaka huu Mkuu.Jambo Jema sana hili, mi Nataka pia kusikia pesa ambayo imetumika juzi, Je, iliendana na bajeti??
Assad alikuwa mtu na nusu.Sitarajii chochote Kwa ripoti ya cag wa sasa ambaye alikuwa kinyago alichokichonga mteuaji zaidi zaid ni deni la taifa kukuwa
Mpaka sasa CAG ni Prof Assad tu, hawa wengine ni ma_cashier tu