Rais Samia kupokea ripoti ya CAG, Machi 28, 2021 saa nne asubuhi Dodoma

Hiyo ni hatua muhimu.....
ni kama vile muuza duka unakabidhiwa duka uuze lazima ufanye stock taking....
ujui kipi kipo....
fedha zipo ngapi
ili kuepuka kuchanganya hesabu
 
Jambo Jema sana hili, mi Nataka pia kusikia pesa ambayo imetumika juzi, Je, iliendana na bajeti??
Hesabu zinazotolewa taarifa sio za mwaka huu Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…