Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,960
- 11,222
Learn to deal with the facts and ignore emetions in life, they are the cause of downfall.Unapoongea international trade ukamtaja na Magufuli, ninakuwa pissed off. The blood fucking dictator destroyed our economy singlehandedly
Kwani amefufuka!naskia sauti ya magufuli
Point zote ziko vizuri sana, tunalalamika Nchi masikini wakati sababu ni ukosefu wa bidhaa na zile zinazopatikana zinakuwa hazina ubora kiasi cha kufanya Kila siku mtu anunue kitu hicho hicho bila kumpa muda wa kutumia thamani ya pesa yake.Eti viwanda vyetu?
,Viwanda vya maji na juisi zenye kiwango Cha chini kabisa.
Viwanda ni vya Azam TU na anauza kokote...
Siyo kishabiki tu inawezekana hata maendeleo hawayahitaji bado wanapenda kuishi zama za kale za kupoteza muda Kila jambo Ili wapate kisingizio cha maisha ya mtu asiyejiweza, maisha ya kutumia Kuni huku unaharibu mazingira, vyombo na macho na kupoteza muda juu, maisha ya kuwasha pasi ya mkaa masaa sita ndo unyooshe nguo mbili alafu uwashe tena unyooshe nguo mbili baadaye useme siku nzima ulitumia muda wako kunyoosha nguo, wakati hivyo vitu vyenye ubora vikija vitasaidia kuokoa muda, kutumika muda mrefu na vingine vitasaidia kufanya uzalishaji wa maana bila kununua Kila siku na kushinda na mafundi kiasi cha kupoteza mtaji.Hawa watu wanajadili mambo kishabiki.
Mkuu hiyo ni kazi ya ofisi ya attorney generalNimesoma na kusema ilkabidi nicheke tuu! Kusema kweli Rais wetu si mwenye tabia ya kusoma vitu hata kidogo! Sitashangaa yeye akisaini kwakuwa kaambiwa! Rais wetu yeye huwa akikutana na mkataba ni kusaini tuu wala sina hakika kama anao muda wa kusoma hata kidogo...