vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Nimepitia picha mbalimbali walizopiga viongozi walipotembelea Korea Kusini walikoenda kusaini mikopo sijaona Waziri wa Fedha na uchumi akionekana
Je, kwa wataalaamu wa uchumi hili jambo ni sahihi?
Mshauri namba moja wa Rais kuhusu mkopo ni Waziri wa Fedha, kwanini hajaenda yeye?
Hili suala lingetokea nchi zilizoendelea Serikali ingeanguka lkn kwa kuwa ni huku nchi ya wasiowajibika.