BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
Alikuwa amepanga au US pamenoga?MHE. RAIS SAMIA KUSHIRIKI MKUTANO WA BENKI YA DUNIA KESHO JUMAMOSI.
#Repost
///@ikulu_mawasiliano: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kushiriki Mkutano wa Benki ya Dunia (World Bank Group) tarehe 23 Aprili, 2022 Saa 4:00 Asubuhi katika Makao Makuu ya benki hiyo nchini Marekani.
Hii ndo namna ya kutafuta hela?Safi tafuta hela
Hii ni iashara kwamba hatuna haja ya kuwa na rais ktk nchi hii. Yaani unaamua kupiga kambi nchi ya wengine! Rais wa nchi! Kwa ksingizio cha kupewa misaada? Idiot!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Sulubu Hassan anatarajiwa kushiriki Mkutano Mkuu wa Benki ya Dunia ( World Bank Group) tarehe 23April 2022 Saa 4:00 asubuhi katika Makao Makuu ya Benki hiyo Nchini Marekani
#AlipoMamaVijanaTupo
#JiandaeKuhesabiwa
#KaziiendeleeView attachment 2196602
Amejialika mwenyeweAlialikwa ama amevamia kama wafanyavyo watoto wa uswahilini kwenye harusi za matajiri?
Wataibaje sasa bila kumtoa eneo la tukio.,😎Ila Mama yupo busy Sana,Wanaompangia ratiba kidogo wampe muda wa kupumzika.
NI BINADAMU PIA