Rais Samia kushiriki mkutano wa Benki ya Dunia Aprili 23, 2022

Rais Samia kushiriki mkutano wa Benki ya Dunia Aprili 23, 2022

Hii ni iashara kwamba hatuna haja ya kuwa na rais ktk nchi hii. Yaani unaamua kupiga kambi nchi ya wengine! Rais wa nchi! Kwa ksingizio cha kupewa misaada? Idiot!
Wakati Obama anapita hapa alikua nje ya nchi kwa siku ngapi!?..na bush,Clinton!?
 
Acha mama apumzike huko, bongo majungu kibao! Arudi akiuwa fresh kazi iendelee!
 
Rais wa nchi moja anatembelea nchi nyingine moja zaidi ya wiki? Kweli nchi inafunguliwa na unapigwa mwingi. Asali inalambwa na kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake.
 
Ila Mama yupo busy Sana,Wanaompangia ratiba kidogo wampe muda wa kupumzika.
NI BINADAMU PIA
Hawa wanaompangia mama ratiba ndo wanatengeneza mazingira ya wao kupata ela ila shida ya ela ya serikali ili uile lazima wengine wengi wanafaike unakuta mtu anataka 1 million ili aipate anatengeneza safari ya wilayani siku 3 huku akijumuisha watu wengine kibao kuonyesha umuhimu wa safari ikiwezekana anaainisha na majukumu na umuhimu wa kila mtu kwenye hiyo safari (matokeo yake anapata ile 1 million aliyoitaka lakini zinatumika 20 million).

Na ndio hizo ziara zinazofanyika sasa hivi na mbaya zaidi mama yeye hakuna ku-delegate kwa wengine ili kuwapa exposure na unzoefu wa mambo, yaani anakwenda mwenyewe na wanamjazia mtu kibao ili kufunga mdomo watu wasishituke
 
Kuna nchi aliyokaa kwa siku hata 4 tu! Rais wetu amefikia hatua ni mgeni wa balozi na siyo nchi ya US. She is just gallivanting!
Hakuja tz tu,Obama alikaa 3 hapa nadhani,bush ndiyo zaidi...walikua nje ya nchi zao kwa muda gani!?..maana hoja hapa kukaa nje ya nchi muda mrefu
 
Hakuja tz tu,Obama alikaa 3 hapa nadhani,bush ndiyo zaidi...walikua nje ya nchi zao kwa muda gani!?..maana hoja hapa kukaa nje ya nchi muda mrefu
Nani kasema tunahoji kukaa nje ya nchi? Tunasema kwa nini kapiga kambi US? Imefikia anafanya teuzi na mwanahabari wake anaandika anuani ya barua eti ni Washington! Yaani ikulu imehamia Washington? Ina maana ikulu yetu haina rais.
 
Mnahamahama tu kihoja,Soma posts uone
 
She is just gallivanting in the US. Mswahili anatafuta michapo ya kusimulia akirudi. komedi tu!
Ukute hata passport huna,elimu yake kaipatia nje,akiwa makamu wa rais kaenda sana nje kumuwakilisha msukuma,Hana ushamba wa ulaya Wala marekani..pole kwa chuki yako kwa 'waswahili'..japo unatumia lugha yao!!!
 
CHeti elimu? Unaijua maana ya elimu? Uonavyo huyo Samia kaelimika? Nincompoop!
 
Back
Top Bottom