n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Akutane nao kufanya nini?. Sidhani kama mama ana muda wa kupoteza na wapuuzi na magaidi.Wanaomshauri Rais Samia wamshauri akutane na viongozi wa upinzani sasa na akisubiri zaidi ndiyo itakuwa ngumu zaidi.
Kwa sasa ni rahisi kukutana nao na kuwaambia umma ni kujadili corona, katiba, kujuana, amani ya nchi na miradi ya nchi.
Usisubiri ukafanya mkutano wakati upinzani wana nguvu zaidi maana kila siku madai yanaongezeka