Rais Samia kutana na viongozi wa upinzani mapema zaidi

Akutane nao kufanya nini?. Sidhani kama mama ana muda wa kupoteza na wapuuzi na magaidi.
 
Haina haja ikiwezekana avifute vyama vya upinzani kabisa ili asileteww choko choko
 
Usimwamshe aliyelala!! Achana naye aendelee kudemka atakuja kujikuta ameshazidiwa
Mimi naona poa tu kwa sasa, ccm choko choko upinzani choko choko, tozo vilio, safi sana
 

Yametimia!!!
 

Nilitoa mawazo haya July 2021 naona sasa Raisi amesikia



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…