Electronica
Member
- Oct 10, 2021
- 36
- 29
Nimefarijika kiasi kusikia Mhe. Samia atatembelea mkoani Geita siku ya kesho tarehe 22.02.2022.
Ni matumaini yangu kuwa mkutano wake na viongozi pamoja na wananchi utaleta nafuu au mwanga wa utatuzi wa changamoto ya matukio ya kupoteza uhai yanayoendelea kuikumba Geita katika siku za hivi karibuni.
Mungu awatangulie wanageita.