Electronica
Member
- Oct 10, 2021
- 36
- 29
[emoji28]Macho na masikio yote Geita
Kama humtaki usiende mkuu, simple like saying good morning.Sisi hatumtaki
Mimi ni Admin tuKama humtaki usiende mkuu, simple like saying good morning.
Nimepishana na gari la Air cargo limebaba ngazi linapeleka Chato.
Perdiem mkuuduu, ila huyu mama ana nguvu aisee, hachoki anapiga mguu tu!
Mh, hv rais anaangalia vitu hivyo kweli?!!! Ye si anajichotea tu anavyotaka (ref jpm)Perdiem mkuu
Pengine na matukio ya ajabu ajabu yatapungua Geita, all the best SamiaNimefarijika kiasi kusikia Mhe. Samia atatembelea mkoani Geita siku ya kesho tarehe 22.02.2022.
Ni matumaini yangu kuwa mkutano wake na viongozi pamoja na wananchi utaleta nafuu au mwanga wa utatuzi wa changamoto ya matukio ya kupoteza uhai yanayoendelea kuikumba Geita katika siku za hivi karibuni.
Mungu awatangulie wanageita.