nyboma
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 2,308
- 7,366
Rejea kichwa cha habari
Siku ukiondoka madarakani utasemwa sana, na katika mwaka wako wa uongozi umeonesha udhaifu tayari hasa katika suala zima la ROYAL TOUR, inasemekana watu wamepiga pesa na kukuachia msala maana hatimiliki iko chini ya Peter Greenberg na Tanzania haijanufaika na chochote zaidi ya wewe kutumika kama muigizaji tu (Refer Cheo chako katika nchi hii).
Pili hadi sasa hakuna kitu chochote ulicho initiate kama Rais wa taifa hili zaidi ya Kuzuru nchi za magharibi kila uchwao.
Mwisho, Usipowakemea hawa watu jua ya kwamba watu hawa watageuza upanga kwako baada ya kuachia madaraka 2025.