Kusemwa kawaida mleta mada. Hata wewe unasemwa Sana mtaani kwako hujijui tu. As long as yeye ni binadamu atasemwa tu, kwahiyo msimtishe mama wa watu.
So Kwa Kuwa Kusemwa ni kawaida Asiambiwe?Kusemwa kawaida mleta mada. Hata wewe unasemwa Sana mtaani kwako hujijui tu. As long as yeye ni binadamu atasemwa tu, kwahiyo msimtishe mama wa watu.
Kumekuwa na minong'ono baina ya wasaka urais kuwa huyu mama ni mzanzibar. Yawezekana wanampeleka chaka ili achukiwe na ipatikane sababu muhimu ya kumshauri asigombee 2025Yeye ni tofouti na mimi, atapoteza nafasi aliyo nayo kumbuka hilo
Yafaa ashauriwe kwa heshima badala ya kumsema.
Mwagika hapa hapa mkuu ili ukichemka upewe za uso. Pm mnaenda kufanya nn? Mtajazana ujinga tu huko.Njoo kwa PM
Hilo la kusemwa hatasemwa Sana tu Ila muhimu aachie ngaz marmoja tuitishe uchaguz mpyya mnk Kam taifa tumepigwa na kitu kizito kizogoni
Kuongozwa na fom 4 Ni hatar sana
Mama akiona mzungu anakuwa mzungu zaidi yao... na kusema sema watu wa Pwani ni suna ye mwenyewe mdomo mwepesi kweli kupayuka.Rejea kichwa cha habari
Siku ukiondoka madarakani utasemwa sana, na katika mwaka wako wa uongozi umeonesha udhaifu tayari hasa katika suala zima la ROYAL TOUR, inasemekana watu wamepiga pesa na kukuachia msala maana hatimiliki iko chini ya Peter Greenberg na Tanzania haijanufaika na chochote zaidi ya wewe kutumika kama muigizaji tu (Refer Cheo chako katika nchi hii).
Pili hadi sasa hakuna kitu chochote ulicho initiate kama Rais wa taifa hili zaidi ya Kuzuru nchi za magharibi kila uchwao.
Mwisho, Usipowakemea hawa watu jua ya kwamba watu hawa watageuza upanga kwako baada ya kuachia madaraka 2025..
Kama nchi kuna kitu tumekosea,halafu ujinga wetu watanzania 2025 atapita kwa kishindo na hakuna kitu mtamfanyaRejea kichwa cha habari
Siku ukiondoka madarakani utasemwa sana, na katika mwaka wako wa uongozi umeonesha udhaifu tayari hasa katika suala zima la ROYAL TOUR, inasemekana watu wamepiga pesa na kukuachia msala maana hatimiliki iko chini ya Peter Greenberg na Tanzania haijanufaika na chochote zaidi ya wewe kutumika kama muigizaji tu (Refer Cheo chako katika nchi hii).
Pili hadi sasa hakuna kitu chochote ulicho initiate kama Rais wa taifa hili zaidi ya Kuzuru nchi za magharibi kila uchwao.
Mwisho, Usipowakemea hawa watu jua ya kwamba watu hawa watageuza upanga kwako baada ya kuachia madaraka 2025..
Ondoka usemwe.Rejea kichwa cha habari