Unaijua nguvu ya rais aliyopewa na katiba ya nchi hii?Mama Ulipojitenga na Magufuli ulifanya usaliti mkubwa. Dhambi hiyo ya ubaguzi na kuwa kinyume na bosi wako haitakuacha salama
Hivi nyie mazezeta,huyo dikteta magufuli yeye ni Nani kwenye Nchi hii? Eti Samia asifanye mambo kujitenga na dikteta magufuli,Kwa aina ya watu aliowateua tangu ameingia madarakani. Kwa kauli zake dhidi ya Magufuli na kwa matendo yake ni ukweli ulio wazi Wananchi wanaona wamepoteza kuliko kupata.
Anayesema Awamu ya tano kulikuwa na Ufisadi na Anayesema Awamu ya sita ufisadi Umerudi nani anaaminika?
Mama Ulipojitenga na Magufuli ulifanya usaliti mkubwa. Dhambi hiyo ya ubaguzi na kuwa kinyume na bosi wako haitakuacha salama
Chutama
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Magufuli alikuwa Ni muongo tu, eti tunajenga kwa fedha ndani, kumbe uongo mtupu!Huo ni mtazamo wako. Lakini awamu hiyo ndio ilikuwa inatia taarifa za uongo kuliko awamu zote. Na ujue uongo hushika ukashikamana kama unavyoaminishwa mpaka leo kuwa miradi yote ilikuwa hela za ndani.
Ahahaha, yaani nyie ni mtahira, jitu lishakufa nyie Bado mnaabudu tu, kwaiyo furaha yenu Samia awe anamtaja marehemu wenu kila anapohutubia.Mama hajawahi kujitenga na Magufuli na jana tu amemtaja kwenye uzinduzi wa barabara ya Morocco - Mwenge.
Kwa sasa ccm ipo msambweniChochea kuni
Tulilishwa matango pori kwa kiasi kikubwa sana .Huo ni mtazamo wako. Lakini awamu hiyo ndio ilikuwa inatia taarifa za uongo kuliko awamu zote. Na ujue uongo hushika ukashikamana kama unavyoaminishwa mpaka leo kuwa miradi yote ilikuwa hela za ndani.