Rais Samia kuzindua ujenzi wa SGR kutoka Tabora kwenda Kigoma pamoja na meli 4 mpya

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Rais Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) Lot 6 kutoka Tabora hadi Kigoma pamoja na kuzindua ujenzi wa meli nne mpya za usafiri katika Ziwa Tanganyika wakati wa ziara yake ya siku moja mkoani Kigoma Julai 20, 2026.

Akizungumza na waandishi wa habari, Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro, amesema ziara hiyo ni muhimu kwa maendeleo ya miundombinu ya uchukuzi mkoani humo na nchini kwa ujumla.

Balozi Sirro pia amewahimiza wananchi wa Mkoa wa Kigoma kujitokeza kwa wingi kumpokea Rais Samia na kushiriki katika hafla hiyo ya kihistoria.

==================================

Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika RAIS Samia Ni Zawadi Kutoka kwa Mungu Mwenyewe, Ni Neema na Baraka Kwa Taifa letu. Ni Nuru na Mwanga Wa Taifa Hili . Ni Mama na Rais Ambaye ameweka Historia ya kutekeleza miradi mingi sana kuwahi kushuhudiwa katika Taifa letu tangia kupata uhuru kwa Taifa hili.

Ni Kiongozi na Mama na Rais Ambaye anataka kuifanya Tanzania kufikika kwa ulahisi kila eneo la Nchi yetu. Anataka na kudhamiria kuona habari za usafiri na usafirishaji unakuwa wa haraka na uhakika. Anataka kuifanya Tanzania kama mtaa mmoja yaani mtu uwe na uwezo wa kulala kigoma na kupeleka Samaki wa kwenda kula Kwa chakula cha mchana kwa wakazi wa Dar na viunga vyake.

Hajapata kutokea Rais wa aina hii katika Bara la Afrika. Huyu ni Rais na Nusu kwa kweli. Ni chuma cha reli ,jasiri muongoza njia na shujaa wa Afrika. Ni Kiongozi ambaye Amekuja kufanyika kama Baraka kwa Taifa letu.

Sasa Wiki Ijayo Rais wetu Mpendwa na kipenzi cha watanzania anakwenda kuweka Historia nyingine kwa kuzindua ujenzi wa kipande cha SGR kutoka Tabora hadi kigoma pamoja na Ujenzi wa Meli 4 za Kisasa kabisa katika ama ndani ya Ziwa Tanganyika.

Yaani nashindwa Niandike nini juu ya Rais Samia maana unaweza kuandika mambo mazuri yanayofanywa na Rais Samia hata kwa Siku nzima na usiweze kumaliza .

Itoshe tu kusema ya kuwa Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kuongoza Taifa letu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Wivu na chuki binafsi ndio vinavyokusumbua
Bro mimi siwezi bishana na wewe wala kuidogosha mighty work rate yako kwa wanaokulipa kuwa hapa, tofauti yangu mimi na wewe naingia jf nikiwa nipo free, wewe upo kazini kama praise team kujipatia mkate wako wa kila siku.
Keep working nyuma yako una watoto na ndugu kijijini wanakutegemea:NyanLove:
 
Rais Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) Lot 6 kutoka Tabora hadi Kigoma pamoja na kuzindua ujenzi wa meli nne mpya za usafiri katika Ziwa Tanganyika wakati wa ziara yake ya siku moja mkoani Kigoma Julai 20, 202

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe utakuwa baby boy maana si kwa uchawa huu, hii laana kuwahi kutokea TANZANIA.
Rais aliyeingia madarakani kwa kuua raia wake zaidi ya 10000.
Anayeteka wapinzani wake, kuwaua, kuwapoteza na hata kuwalawiti.
Aliyewapa wapinzani wake KESI kubwa nchini Ili kuwadhibi, alumpa Mbowe KESI ya ugaidi halafu akaishia kumualika ikulu wanywe chai.
Wewe ulisikia USA walipomtangaza Osama bin laden gaidi alialikwa white House?
Amemfungulia Tundu Lissu KESI ya uhaini ambayo hukumu yake ni kufa kwa sababu ya kutaka mabadiliko ya sheria ya uchaguzi na katiba mpya.
Hii ni laana watanzania tufanye toba kuondokewa na hii laana
 
Rais Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) Lot 6 kutoka Tabora hadi Kigoma pamoja na kuzindua ujenzi wa meli nne mpya za usafiri katika Ziwa Tanganyika wakati wa ziara yake ya siku moja mkoani Kigoma Julai 20, 2026.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Dr Samia Suluhu Hassan anafanya kazi kubwa sana ya maendeleo kwajili wananchi na waTanzania wote kwa kasi zaidi, nguvu zaidi na kwa ari zaidi.

God bless Dr Samia Suluhu Hassan 🔥
 
Kazi kubwa anayofanya kukununulia unlimited ya 70k mana ukitoka hapa unarefresh na porn kidogo unarudi tena jioni unapata paycheck maisha yanaenda kila kitu ni fursa take it or leave it
 
Rais Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) Lot 6 kutoka Tabora hadi Kigoma pamoja na kuzindua ujenzi wa meli nne mpya za usafiri katika Ziwa Tanganyika wakati wa ziara yake ya siku moja mkoani Kigoma Julai 20, 2026.za wananchi wa Mkoa wa Kigoma kujitokeza kwa wingi kumpokea Rais Samia na kushiriki katika hafla hiyo ya kihistoria.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe utakuwa baby boy maana si kwa uchawa huu, hii laana kuwahi kutokea TANZANIA.
Rais aliyeingia madarakani kwa kuua raia wake zaidi ya 10000.
Anayeteka wapinzani wake, kuwaua, kuwapoteza na hata kuwalawiti.
Aliyewapa wapinzani wake KESI kubwa nchini Ili kuwadhibi, alumpa Mbowe KESI ya ugaidi halafu akaishia kumualika ikulu wanywe chai.
Wewe ulisikia USA walipomtangaza Osama bin laden gaidi alialikwa white House?
Amemfungulia Tundu Lissu KESI ya uhaini ambayo hukumu yake ni kufa kwa sababu ya kutaka mabadiliko ya sheria ya uchaguzi na katiba mpya.
Hii ni laana watanzania tufanye toba kuondokewa na hii
Dr Samia Suluhu Hassan anafanya kazi kubwa sana ya maendeleo kwajili wananchi na waTanzania wote kwa kasi zaidi, nguvu zaidi na kwa ari zaidi.

God bless Dr Samia Suluhu Hassan 🔥
Anafanya kazi kubwa kuteka, kuua, kuwapoteza na kuwalawiti wapinzani wake.
Free Tundu Lissu machawa nyie
 
Wewe utakuwa baby boy maana si kwa uchawa huu, hii laana kuwahi kutokea TANZANIA.
Rais aliyeingia madarakani kwa kuua raia wake zaidi ya 10000.
Anayeteka wapinzani wake, kuwaua, kuwapoteza na hata kuwalawiti.
Aliyewapa wapinzani wake KESI kubwa nchini Ili kuwadhibi, alumpa Mbowe KESI ya ugaidi halafu akaishia kumualika ikulu wanywe chai.
Wewe ulisikia USA walipomtangaza Osama bin laden gaidi alialikwa white House?
Amemfungulia Tundu Lissu KESI ya uhaini ambayo hukumu yake ni kufa kwa sababu ya kutaka mabadiliko ya sheria ya uchaguzi na katiba mpya.
Hii ni laana watanzania tufanye toba kuondokewa na hii

Anafanya kazi kubwa kuteka, kuua, kuwapoteza na kuwalawiti wapinzani wake.
Free Tundu Lissu machawa nyie
hakuna haja ya porojo za kutafuta kiki na public sympathy jukwaani kwenye uzi wa kizalendo gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom