TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Hii ni habari Njema sana. Na kwa moyo huo huo wa kurahisisha huduma kwa wananchi. Naomba uzifikishie Mamlaka ombi la kuwaruhusu watu wa Katoro waruhusiwe kumalizia ujenzi wa SGR Dodoma kwenda Mwanza. Natanguliza Shukrani.wa kipande cha SGR kutoka Tabora hadi kigoma pamoja na Ujenzi wa Meli 4 za Kisasa kabisa katika ama ndani ya Ziwa Tanganyika.
Watu wanadai miili yao wakazike.Rais Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) Lot 6 kutoka Tabora hadi Kigoma pamoja na kuzindua ujenzi wa meli nne mpya za usafiri katika Ziwa Tanganyika wakati wa ziara yake ya siku moja mkoani Kigoma Julai 20, 2026.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro, amesema ziara hiyo ni muhimu kwa maendeleo ya miundombinu ya uchukuzi mkoani humo na nchini kwa ujumla.
Balozi Sirro pia amewahimiza wananchi wa Mkoa wa Kigoma kujitokeza kwa wingi kumpokea Rais Samia na kushiriki katika hafla hiyo ya kihistoria.
==================================
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika RAIS Samia Ni Zawadi Kutoka kwa Mungu Mwenyewe, Ni Neema na Baraka Kwa Taifa letu. Ni Nuru na Mwanga Wa Taifa Hili . Ni Mama na Rais Ambaye ameweka Historia ya kutekeleza miradi mingi sana kuwahi kushuhudiwa katika Taifa letu tangia kupata uhuru kwa Taifa hili.
Ni Kiongozi na Mama na Rais Ambaye anataka kuifanya Tanzania kufikika kwa ulahisi kila eneo la Nchi yetu. Anataka na kudhamiria kuona habari za usafiri na usafirishaji unakuwa wa haraka na uhakika. Anataka kuifanya Tanzania kama mtaa mmoja yaani mtu uwe na uwezo wa kulala kigoma na kupeleka Samaki wa kwenda kula Kwa chakula cha mchana kwa wakazi wa Dar na viunga vyake.
Hajapata kutokea Rais wa aina hii katika Bara la Afrika. Huyu ni Rais na Nusu kwa kweli. Ni chuma cha reli ,jasiri muongoza njia na shujaa wa Afrika. Ni Kiongozi ambaye Amekuja kufanyika kama Baraka kwa Taifa letu.
Sasa Wiki Ijayo Rais wetu Mpendwa na kipenzi cha watanzania anakwenda kuweka Historia nyingine kwa kuzindua ujenzi wa kipande cha SGR kutoka Tabora hadi kigoma pamoja na Ujenzi wa Meli 4 za Kisasa kabisa katika ama ndani ya Ziwa Tanganyika.
Yaani nashindwa Niandike nini juu ya Rais Samia maana unaweza kuandika mambo mazuri yanayofanywa na Rais Samia hata kwa Siku nzima na usiweze kumaliza .
Itoshe tu kusema ya kuwa Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kuongoza Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Watu wanadai miili yao wakazike.
Haiishi mpaka iishe.
Samuya sio na kamwe hawezi kuwa Dr, alisomea chuo gani??Dr Samia Suluhu Hassan anafanya kazi kubwa sana ya maendeleo kwajili wananchi na waTanzania wote kwa kasi zaidi, nguvu zaidi na kwa ari zaidi.
God bless Dr Samia Suluhu Hassan 🔥
Tundu Lissu anatakiwa kutangazwa kama Adui wa TaifaWewe utakuwa baby boy maana si kwa uchawa huu, hii laana kuwahi kutokea TANZANIA.
Rais aliyeingia madarakani kwa kuua raia wake zaidi ya 10000.
Anayeteka wapinzani wake, kuwaua, kuwapoteza na hata kuwalawiti.
Aliyewapa wapinzani wake KESI kubwa nchini Ili kuwadhibi, alumpa Mbowe KESI ya ugaidi halafu akaishia kumualika ikulu wanywe chai.
Wewe ulisikia USA walipomtangaza Osama bin laden gaidi alialikwa white House?
Amemfungulia Tundu Lissu KESI ya uhaini ambayo hukumu yake ni kufa kwa sababu ya kutaka mabadiliko ya sheria ya uchaguzi na katiba mpya.
Hii ni laana watanzania tufanye toba kuondokewa na hii
Anafanya kazi kubwa kuteka, kuua, kuwapoteza na kuwalawiti wapinzani wake.
Free Tundu Lissu machawa nyie
Wivu tu ndio unaokusumbua. Dunia Nzima inamtambua Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Wewe endelea na mikosi yako na nukusiSamuya sio na kamwe hawezi kuwa Dr, alisomea chuo gani??
Na kwa uwezo gani alionao kichwani??
Weka Majina yao kamiliWatu wanadai miili yao wakazike.
Haiishi mpaka iishe.
Wala usijali hata kidogo hakuna kitu kitabakia kama kilivyokuwa. Mama Atawafikia na kila kitu kitatekelezwa na kukamilika vyema kabisaMkuu tusaidie mama yetu mpendwa amalizie kipande cha makutupora tabora,tabora mwanza,maana ni mda mrefu hakuna kazi inayoendelea zaidi ya miaka miwili
Tutafute uwezekano wa kufikisha SGR makunduchi.Rais Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) Lot 6 kutoka Tabora hadi Kigoma pamoja na kuzindua ujenzi wa meli nne mpya za usafiri katika Ziwa Tanganyika wakati wa ziara yake ya siku moja mkoani Kigoma Julai 20, 2026.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro, amesema ziara hiyo ni muhimu kwa maendeleo ya miundombinu ya uchukuzi mkoani humo na nchini kwa ujumla.
Balozi Sirro pia amewahimiza wananchi wa Mkoa wa Kigoma kujitokeza kwa wingi kumpokea Rais Samia na kushiriki katika hafla hiyo ya kihistoria.
==================================
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika RAIS Samia Ni Zawadi Kutoka kwa Mungu Mwenyewe, Ni Neema na Baraka Kwa Taifa letu. Ni Nuru na Mwanga Wa Taifa Hili . Ni Mama na Rais Ambaye ameweka Historia ya kutekeleza miradi mingi sana kuwahi kushuhudiwa katika Taifa letu tangia kupata uhuru kwa Taifa hili.
Ni Kiongozi na Mama na Rais Ambaye anataka kuifanya Tanzania kufikika kwa ulahisi kila eneo la Nchi yetu. Anataka na kudhamiria kuona habari za usafiri na usafirishaji unakuwa wa haraka na uhakika. Anataka kuifanya Tanzania kama mtaa mmoja yaani mtu uwe na uwezo wa kulala kigoma na kupeleka Samaki wa kwenda kula Kwa chakula cha mchana kwa wakazi wa Dar na viunga vyake.
Hajapata kutokea Rais wa aina hii katika Bara la Afrika. Huyu ni Rais na Nusu kwa kweli. Ni chuma cha reli ,jasiri muongoza njia na shujaa wa Afrika. Ni Kiongozi ambaye Amekuja kufanyika kama Baraka kwa Taifa letu.
Sasa Wiki Ijayo Rais wetu Mpendwa na kipenzi cha watanzania anakwenda kuweka Historia nyingine kwa kuzindua ujenzi wa kipande cha SGR kutoka Tabora hadi kigoma pamoja na Ujenzi wa Meli 4 za Kisasa kabisa katika ama ndani ya Ziwa Tanganyika.
Yaani nashindwa Niandike nini juu ya Rais Samia maana unaweza kuandika mambo mazuri yanayofanywa na Rais Samia hata kwa Siku nzima na usiweze kumaliza .
Itoshe tu kusema ya kuwa Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kuongoza Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Rais Samia ataifikisha SGR Hadi Burundi na Rwanda huko ili kuipa kazi Bandari yetu ya Dar na kuongeza Mapato ya ndaniTutafute uwezekano wa kufikisha SGR makunduchi.
Inazunduliwa awamu kwa awamu kulingana na vipande .Hio reli kila siku inazinduliwa tu, hovyo kabisa [emoji28][emoji28][emoji28]
Kupitia UCHAWA WAKO.Wanadai kupitia mitandao au ?
Maria Sarungi aliweka majina yao ,nenda kwenye cloud alishare link.Weka Majina yao kamili
Yalete hapaMaria Sarungi aliweka majina yao ,nenda kwenye cloud alishare link.