Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuzungumza na Machifu wa Tanzania.
🗓️ 20 Julai, 2024. 📍 Ikulu Chamwino.
🗓️ 20 Julai, 2024. 📍 Ikulu Chamwino.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii serikali haijielewi inaenda au inarudi.Kumbe mpaka leo kuna machief...
Tatizo ni dereva mkuu, hata ukimsikiliza wakati anatoa hotuba pasipo kuisoma unapata mashaka makubwa juu ya uelewa wake!!.Hii serikali haijielewi inaenda au inarudi.
Hivi tawala za kichifu si zilikoma baada ya Tanganyika kuwa huru?Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuzungumza na Machifu wa Tanzania.
🗓️ 20 Julai, 2024.
📍 Ikulu Chamwino.
View attachment 3046695
Tanganyika ilifuta uchief kama sehemu ya kujenga Taifa moja imara.Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuzungumza na Machifu wa Tanzania.
🗓️ 20 Julai, 2024.
📍 Ikulu Chamwino.
View attachment 3046695
Mjinga ni yule anayemaind mambo yasiyohomhusu.Anazungumza na wajinga
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuzungumza na Machifu wa Tanzania.
🗓️ 20 Julai, 2024.
📍 Ikulu Chamwino.
View attachment 3046695
Dereva kaachiwa mpaka kuwa dereva na nani?Tatizo ni dereva mkuu, hata ukimsikiliza wakati anatoa hotuba pasipo kuisoma unapata mashaka makubwa juu ya uelewa wake!!.
Nasikia watumishi na hata wanajeshi wanapandishwa madaraja ya mshahara kwa kiwango ambacho hatujawahi kushuhudia.Yaani huyu bi Chura kiziwi, uchaguzi umemtoa subira kabisa..kwa gharama yoyote anataka ashinde ndio maana anajaribu kujiweka karibu na kila kundi lenye influence kwenye jamii..Namkumbusha tu SIR GOD nae ana nafasi yake..tena kubwa tu