ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,154
- 4,184
Mheshimiwa Rais;
Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano;
Mhesihimiwa, sijui mshauri wako ni nani katika kuteua baraza la mawaziri ambalo umelitangaza juzi ila ulichofanya kuhusu Ndugai, Kabudi na Lukuvi kwa kweli inabidi nikupe ushauri wa haraka.
Kwanza kabisa Hawa watu watatu hasa Kabudi na Lukuvi ambao walijitahidi kutokuonesha mahaba yao kwa mwendazake na kuendelea kuwa wanyenyekevu kwako.Sasa leo naomba nikushauri.Kuna kipindi nimewahi kusikia cheo cha Minister without Portfolio(Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum.
Najua umewatoa kwa ushauri wa watu ambao walikuwa na maslahi ili kuwatengenezea nafasi za uwaziri baadhi ya watu fulani ama kwa sababu ya umri au uwezo wao.Hata hivyo ingependeza kama Kabaa hata watu kuanza kununa nuna Ungeamua tu kuwapa cheo cha Mawaziri wasiokuwa na mawaziri.
Kuhusu suala la Spika mjiuzulu,Ndugai.Unajipendendekeza nini kwake wakati ilikuwa ni siasa tu?uliroppoka na yeye akaropoka na wewe ukaropoka na yeye akaamu kung'atuka.Kama unafikiri bado ana nafsi katika Serikali yako bado unaweza kumpa uwaziri maana bado ni mbichi kisiiasa anaweza kufanya kazi.
Pili nataka nikupe ushauri kuhusu mwenendo wa uendeshaji wa wa serikali.

- Kutokuelewana kati ya waziri,naibu na makatibu wakuu ni jambo ambalo linasumbua sana uendeshaji wa nchi.Hawa watu inabidi uwape somo na uanze ile stahili ya mtangulizi wako ya kuwatumbua wale ambao ni vichwa ngumu.
- Sijakagua sana wizara zako na muundo wake lakini kwa sababu bado naamini katika uwezo wako naomba utazame wizara zifuatazo kwa umakini;
- Wizara ya elimu
- Wizara ya Biashara uwekezaji
- Wizara ya utalii
- Wizara ya Afya.