Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 753
- 1,699
well done madam President, Dr.Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema hali ya kisiasa nchini iko tulivu na kwamba kwa sasa "kila kitu kipo sawa" nchini Tanzania.
Rais Samia amesema hayo wakati wa majadiliano kuhusu ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na Ghana yaliyofanyika katika Ikulu Ndogo mkoani Arusha.
View attachment 3551197
Ingawa sijaelewa mantiki ya kumualika huyo Rais wa Ghana ambae Nchi yake ndio ililaani kile kilochotokea Oktoba 29Ya kweli haya ndugu zangu?
Kila kitu pipo shwari baada ya uchaguzi? Mambo yamerejea kama kawaida na uchumi umekua?
=====
"Tanzania tuko watulivu na tuko sawa. Kisiasa, kila kitu kiko chini ya udhibiti baada ya uchaguzi wetu wa Oktoba. Sasa nchi imerejea katika hali ya kawaida na tunaendelea na shughuli zetu kama kawaida.
Kama mnavyoweza kuona hapa Arusha, kila kitu kiko sawa. Baada ya matukio yale, niliunda Tume ya Uchunguzi ambayo tunasubiri ripoti na mapendekezo yake. Hii itatuongoza kuunda Tume ya Maridhiano itakayotekeleza mapendekezo hayo, na baadaye tutafanya mapitio ya Katiba yetu.
Kiuchumi, tunafanya vizuri sana. Mwaka jana tulikua kwa asilimia 6% na mfumuko wa bei umebaki katika tarakimu moja, tukiwa tunacheza kati ya asilimia 3.5% hadi 4%. Bado hatujafika asilimia 5%.
Lengo letu kuu kiuchumi ni kuleta mabadiliko kupitia kuongeza thamani ya bidhaa na ukuaji wa viwanda. Pia, tunajikita katika kuendeleza rasilimali watu, tukizingatia kuwa asilimia 60% ya nguvu kazi ya taifa letu ni vijana. Tuna kazi kubwa ya kufanya kwa ajili yao."
Rais Samia amesema hayo wakati wa majadiliano kuhusu ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na Ghana yaliyofanyika katika Ikulu Ndogo mkoani Arusha.
View attachment 3551197
Utaelewa tuIngawa sijaelewa mantiki ya kumualika huyo Rais wa Ghana ambae Nchi yake ndio ililaani kile kilochotokea Oktoba 29
Ya kweli haya ndugu zangu?
Kila kitu pipo shwari baada ya uchaguzi? Mambo yamerejea kama kawaida na uchumi umekua?
=====
"Tanzania tuko watulivu na tuko sawa. Kisiasa, kila kitu kiko chini ya udhibiti baada ya uchaguzi wetu wa Oktoba. Sasa nchi imerejea katika hali ya kawaida na tunaendelea na shughuli zetu kama kawaida.
Kama mnavyoweza kuona hapa Arusha, kila kitu kiko sawa. Baada ya matukio yale, niliunda Tume ya Uchunguzi ambayo tunasubiri ripoti na mapendekezo yake. Hii itatuongoza kuunda Tume ya Maridhiano itakayotekeleza mapendekezo hayo, na baadaye tutafanya mapitio ya Katiba yetu.
Kiuchumi, tunafanya vizuri sana. Mwaka jana tulikua kwa asilimia 6% na mfumuko wa bei umebaki katika tarakimu moja, tukiwa tunacheza kati ya asilimia 3.5% hadi 4%. Bado hatujafika asilimia 5%.
Lengo letu kuu kiuchumi ni kuleta mabadiliko kupitia kuongeza thamani ya bidhaa na ukuaji wa viwanda. Pia, tunajikita katika kuendeleza rasilimali watu, tukizingatia kuwa asilimia 60% ya nguvu kazi ya taifa letu ni vijana. Tuna kazi kubwa ya kufanya kwa ajili yao."
Rais Samia amesema hayo wakati wa majadiliano kuhusu ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na Ghana yaliyofanyika katika Ikulu Ndogo mkoani Arusha.
View attachment 3551197
Bado unamuita mama? Really?Mama anaongea mambo ya uchumi ya 2025 kabla ya uchaguzi. Mama amezoea uongo
Bado unamuita mama? Really?
well done madam President, Dr.Samia Suluhu Hassan,
you are doing very good job for Tanzanians.
we thank you Mama
Ya kweli haya ndugu zangu?
Kila kitu pipo shwari baada ya uchaguzi? Mambo yamerejea kama kawaida na uchumi umekua?
=====
"Tanzania tuko watulivu na tuko sawa. Kisiasa, kila kitu kiko chini ya udhibiti baada ya uchaguzi wetu wa Oktoba. Sasa nchi imerejea katika hali ya kawaida na tunaendelea na shughuli zetu kama kawaida.
Kama mnavyoweza kuona hapa Arusha, kila kitu kiko sawa. Baada ya matukio yale, niliunda Tume ya Uchunguzi ambayo tunasubiri ripoti na mapendekezo yake. Hii itatuongoza kuunda Tume ya Maridhiano itakayotekeleza mapendekezo hayo, na baadaye tutafanya mapitio ya Katiba yetu.
Kiuchumi, tunafanya vizuri sana. Mwaka jana tulikua kwa asilimia 6% na mfumuko wa bei umebaki katika tarakimu moja, tukiwa tunacheza kati ya asilimia 3.5% hadi 4%. Bado hatujafika asilimia 5%.
Lengo letu kuu kiuchumi ni kuleta mabadiliko kupitia kuongeza thamani ya bidhaa na ukuaji wa viwanda. Pia, tunajikita katika kuendeleza rasilimali watu, tukizingatia kuwa asilimia 60% ya nguvu kazi ya taifa letu ni vijana. Tuna kazi kubwa ya kufanya kwa ajili yao."
Rais Samia amesema hayo wakati wa majadiliano kuhusu ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na Ghana yaliyofanyika katika Ikulu Ndogo mkoani Arusha.
View attachment 3551197
Mumewe na Wake Wenza, wewe hauelewi nini?Anataka maridhiano ya nini .?
Mimi hapo ndo anaponichanganya.
Amegombana na nani?