Rais Samia kwenda Afrika Kusini kwenye uapisho wa Ramaphosa

Rais Samia kwenda Afrika Kusini kwenye uapisho wa Ramaphosa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kusafiri kuelekea Jamhuri ya Afrika Kusini leo jioni kwa ziara ya kikazi ya siku moja kushiriki hafla ya uapisho wa Rais Mteule, Matamela Cyril Ramaphosa ambaye amechaguliwa kuwa Rais wa Nchi hiyo.

Rais Mteule Matamela Cyril Ramaphosa anatarajiwa kuapishwa June 19, 2024.

PIA SOMA
- Afrika Kusini: Cyril Ramaphosa achaguliwa kuwa Rais kwa awamu ya pili

- Rais Samia atua Afrika Kusini kushiriki uapisho wa Ramaphosa hapo kesho

- Rais Samia arejea nchini akitokea Afrika Kusini kuhudhuria uapisho wa Rais Cyril Ramaphosa

1718729313639.jpeg
 
Rais Samia anapenda safari balaa , aisee nchi imepatwa hii, huko angani achoki? Aisee hakuna rangi hatutaacha kuona chini ya uongozi huu
 
Tuko pamoja nae hadi siku aanguke na ndege...
 
Back
Top Bottom