Rais Samia, maeneo ya kufanya maridhiano ni mengi

Rais Samia, maeneo ya kufanya maridhiano ni mengi

mmaroroi

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2008
Posts
4,635
Reaction score
2,271
Waraka kwa Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassan.

Waraka huu nautuma kwa Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassan kutokana na kuonyesha dhamira ya kweli ya upatanishi katika jamii ya watanzania.

Mh Rais maeneo ya upanishi ni mengi sana kutokana na uonevu uliofanyika wakati wa Serikali ya awamu ya Tano.

Eneo mojawapo ni wafanyakazi walioondolewa kazini kwa uzushi, uonevu na ubabe wa viongozi kipindi kile. Mh Rais Tume uliyoiteua ya kuangalia suala la haki na maridhiano pia liangalie eneo hili.

Ninaamini dhamira ya Mh Rais ya upatanishi ina nia njema ya kuwaleta watanzania pamoja.

Naomba kuwasilisha.
 
Siasa za maridhiano zieendelee, vijana wajifunze kuwa siasa si uadui
 
Back
Top Bottom