Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka magereza kulinda maeneo yao ili kuepuka migogoro. Amekosoa tabia ya kugawiana maeneo kwa maaskari magereza ambapo amesema wananchi hujenga wakiona wengine wanajenga.
Rais amewataka Magereza watenge maeneo yatakayotumika kama zawadi kwa wastaafu wa magereza na sio kugawa kiholela. Amesema mwananchi hawezi kujijengea tu katika eneo la jeshi.
Rais amewataka Magereza watenge maeneo yatakayotumika kama zawadi kwa wastaafu wa magereza na sio kugawa kiholela. Amesema mwananchi hawezi kujijengea tu katika eneo la jeshi.