Rais Samia Suluhu Hassan amewataka magereza kulinda maeneo yao ili kuepuka migogoro. Amekosoa tabia ya kugawiana maeneo kwa maaskari magereza ambapo amesema wananchi hujenga wakiona wengine wanajenga.
Rais amewataka Magereza watenge maeneo yatakayotumika kama zawadi kwa wastaafu wa magereza na sio kugawa kiholela. Amesema mwananchi hawezi kujijengea tu katika eneo la jeshi.
Magereza wangejiongeza vizuri ingekua veta part two. Badala ya kurundika watu na kukata mitipekee wangeanzisha mafunzo ya upishi,uselema,ushonaji nguo,viatu etc
Magereza wangejiongeza vizuri ingekua veta part two. Badala ya kurundika watu na kukata mitipekee wangeanzisha mafunzo ya upishi,uselema,ushonaji nguo,viatu etc