Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Asilisahau na jeshi la mgambo, ili liongeze tija kwenye kuwaonea wamachinga kwa kuwapora mali zaoRais Samia Suluhu Hassan amesema kwa bajeti yam waka wa fedha 2022/23 wameongeza fedha kwa majeshi ya Ulinzi na Usalama ili wapunguze muda wanaotumia kushughulika na shughuli za uzalishaji
Rais amesema hayo alipokuwa Msalato, Dodoma akizindua Kiwanda cha Samani cha Jeshi la Magereza ambapo amesema shughuli za uzalishaji zinapunguza muda wa majeshi kujikita kwenye shughuli za medani.
Aidha amewataka Wakuu wa Majeshi Nchini kujifunza kutoka kwa majeshi mengine duniani namna ambavyo wanajihusha na shughuli za uzalishaji bila kuathiri shughuli zao za msing.
Hapa mama amekosea, au labda si msomaji au mfatiliaji...Rais Samia Suluhu Hassan amesema kwa bajeti yam waka wa fedha 2022/23 wameongeza fedha kwa majeshi ya Ulinzi na Usalama ili wapunguze muda wanaotumia kushughulika na shughuli za uzalishaji
Rais amesema hayo alipokuwa Msalato, Dodoma akizindua Kiwanda cha Samani cha Jeshi la Magereza ambapo amesema shughuli za uzalishaji zinapunguza muda wa majeshi kujikita kwenye shughuli za medani.
Aidha amewataka Wakuu wa Majeshi Nchini kujifunza kutoka kwa majeshi mengine duniani namna ambavyo wanajihusha na shughuli za uzalishaji bila kuathiri shughuli zao za msing.
Dunia ya kwanza majeshi ndio hutumikaa kugundua na kuvumbua kila kitu.Mama hongera Kwa kuliona Hilo Yani Sasa hivi majeshi yamebadirika kuwa kampuni za biashara Hadi ndani ya makambi Kuna miradi na biashara mbalimbali. Yani ni uozo
Vitengo vyao vya uzalishaji ndio vijikite huko.
Hatua gani tunarudi hapa? Hivi Kazi ya jeshi ni kubeba korosho na kushona viatu?Tunaenda mbele hatua 10 tunarudi nyuma hatua 15....
Kwa hiyo hiyo Dunia ya kwanza hayo majeshi yanafanya hizo shughuli uraiani au ndani huko kwenye ishu zao?Dunia ya kwanza majeshi ndio hutumikaa kugundua na kuvumbua kila kitu.
Hiyo Kazi ni ya magereza na JKT sio hao wengineIla akili zetu zinatofautiana sana, badala ya majeshi yetu yaongeze uzalishaji na kuwafanya waipunguzie serikali mzigo wa kuwalea ili hiyo pesa ipelekwe pengine, Samia ndio anawafanya wazidi kuwa wazembe.
Ningeielewa hiyo hoja ya Samia kama nchi yetu ingekuwa vitani wanajeshi hawana muda wa kuzalisha, lakini sio kwa hawa wanajeshi wetu wenye vitambi wasioweza hata kukimbia.
Muhimu hizo tenda wakizitoa wasitoe kwa upendeleo, vinginevyo itakuwa ni kazi bure mzunguko wa pesa utaendelea kubaki kwa watu walewale, hii itakuwa ni sawa na kuhamisha tatizo badala ya kulimaliza.
Hapa mama amekosea, au labda si msomaji au mfatiliaji...
Binadamu huendelea Kijamii au kiteknolojia kwa sababu ya vita ambayo husabisha maendeleo jeshini...
Kuna msemo unasema Enrich the Army Enrich the country.
Ukitaja nchi zote tajari Duniani kuanzia USA, Europe, Israel e.t.c maendeleo Yao yanaanzia Jeshini kuanzia tafiti Hadi implementation zote...
We need to give our armies such kinds of challenges and not to stop them. Mfano kipindi Cha Corona Hadi Sasa hakuna response ya kitaalam ya Majeshi yetu Kwa sababu hawana aina hii ya wataalaam au focus, Jeshi letu sidhani kama Ina Ina yoyote ya rapid response kama ikitokea Hatari ya kukosekana kwa hydrocarbons.
Samia ni mweupe sana kichwani
Hizi unazosema ndio kazi za Uzalishaji, Serikali inatakiwa iwaongezee pesa wawe na uwezo wa kushindana na si kuwazuiaNakubaliana na wewe in a way
Kweli wanajeshi wana mambo mengi ya kuvumbua kwa kuendana na nchi na usalama wetu
Technology nyingi leo tuanzitumia wao wanajeshi nchi tajiri walizijua miaka hata 60 au zaidi nyuma
Mifano hata mobile phones, night vision na mengine
Ila sasa sisi wanajeshi wetu ni tofauti hawavumbui kitu bali wanatumikishwa tu
Kwa mfano Magereza wao utakuta askari anasimamia wafungwa wakilima mashamba binafsi au kukata miti wengine wakiwa wajenzi
Je kweli tunahitaji wajenzi jeshini?
Basi wajenge hata madaraja ya chuma na kuwauzia hata nchi za Jirani labda
Ni mfano tu maana hiyo iko karibu na uhitaji wa Jeshi
Huenda siko sahihi ila ni mtazamo tu
Hawa tunawalipa salary wanahangaika na ujasiriamali matokeo yake tukivamiwa wanaanza kututanguliza eti wanaume wote vitani wakati wenye kiapo na tunaowalisha kwa Kodi zetu wapo na tuliwafindisha.Mama hongera Kwa kuliona Hilo Yani Sasa hivi majeshi yamebadirika kuwa kampuni za biashara Hadi ndani ya makambi Kuna miradi na biashara mbalimbali. Yani ni uozo