Rais Samia, mantiki ya kumtoa IGP Simon Sirro na kumleta IGP Camillius Wambura ilikuwa ni ipi?

Rais Samia, mantiki ya kumtoa IGP Simon Sirro na kumleta IGP Camillius Wambura ilikuwa ni ipi?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Kwanini nauliza hivyo?

1. Yale yale yaliyokuwa yanatokea wakati wa Siro ndiyo hayo hayo yanatokea wakati wa Wambura eg..kupoteza, kutekwa watu, kubambika kesi etc etc. Ben Saanane, Sativa and, you mention them...

2. Muundo/utendaji wa jeshi la polisi n huo huo, tulitegemea kutakuwa na mabadiliko ya utendaji wa kazi wa polisi

3. One would expect police service and not police brutality, bado iko hivyo hivyo.

Mh Rais nawasilisha.
 
Watu pia wawe makini sana, usalama wa kwanza huanza kwa mtu mwenyewe. Polisi wetu sio wa kuwategemea kiviile wanafanya kazi wakitaka
 
Yanayotokea yana maagizo kutoka kwenye kiti, kumtoa Siro, mbali ya mambo mengine pia ilikuwa ni kubadili shift za wafanyakazi. Ulitarajia nini? Amtoe Siro halafu amteue Wambura huku nafasi ya DCI akipewa Kingai, ina maana mlipigwa upofu kabisa kugundua ni change of shift?
 
Sidhani huyo mwenyewe unaye mueleza anaelewa anachokifanya
Yupo kwenye fallacy
A fallacy is the use of invalid or otherwise faulty reasoning in the construction of an argument that may appear to be well-reasoned if unnoticed.
 
Back
Top Bottom