Rais Samia, matumizi ya nguvu dhidi ya upinzani yanakubomoa kisiasa

Dr Adam Francis

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
790
Reaction score
1,316
Changamoto kubwa kuliko zote ya kazi ya siasa ni uvumilivu wa kukosolewa, wakati mwingine hata kuvunjiwa heshima. Ni wazi kuwa ushindani wa kisiasa haupo tu katika uwezo wa kuandaa na kuinadi ilani nzuri ya uchaguzi bali ni pamoja na kuwa na ustahimilivu wa kupokea changamoto za upinzani bila kuyumbishwa.

Maadhimisho ya mwaka mmoja wa urais wako yalitoa mwelekeo mpya wa siasa za nchi yetu. Falsafa ya 4R ilileta matumaini, ikafika wakati CHADEMA ambao ndio wapinzani wako wakubwa, sio tu walikualika kwenye mkutano wao, bali walikupa na tuzo. Haya yalikuwa ni mafanikio makubwa bila kujali tofauti za milengo yetu ya kisiasa.

Mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, ulikuwa ndio mwanzo wa mashaka tuliyonayo kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025. Kwa maoni yangu CCM haikuhitaji rafu ya aina yoyote kushinda 2024 na hata pasipo rafu yoyote bila shaka itashinda na kushika dola 2025, mjadala ungekuwa ni majimboni tu.

Madai ya "No reform, no election" hayakupaswa kwasababu yoyote ile kutufikisha hapa tulipo. Natafakari kwa sauti, nini kingetokea kama CHADEMA wangeachwa waendelee na mikutano yao? Au nini kilitokea maeneo ambayo CHADEMA walikuwa wameshapita kufanya kampeni yao? Sote ni mashahidi hakikutokea chochote.

Sintofahamu tulizonazo sasa, chimbuko lake ni kukamatwa kwa Tundu Lisu na kumfungulia kesi ya uhaini. Sina uhakika kama walioshauri na kutekeleza hili bado wanaamini wamemsaidia Rais. Lakini hii nguvu inayotumika kuzuia wafuasi wa CHADEMA kwenda kusikiliza kesi dhidi ya mwenyekiti wao ni ujumbe kuwa huenda uamuzi wa kumkamata haukuwa sahihi na kwamba unaibua hisia hasi kwa wananchi dhidi ya serikali na unaipa CHADEMA sababu ya kuthibitisha wanaonewa mbele ya jumuia ya kimataifa. Mambo ambayo kama serikali ingewapuuza, yasingetokea.

Mh. Jakaya kwangu atabaki kuwa mwanasiasa bora wa muda wote hapa kwetu. Katika urais wake, alisemwa na alitukanwa sana lakini hakutumia nguvu kwa kiasi hiki tunachokiona kushughulika na upinzani. Mh Rais kupitia falsafa yako ya 4R ni wazi ungeivunja hii rekodi. Wasiwasi wangu isijekuwa kuna watu wanakutisha kuwa usipotumia nguvu hautashinda tofauti na uhalisia wa kura za CCM tunavyouona huku mitaani.

Mh Rais, CCM inaorodha ndefu ya mafanikio ya kuwaeleza watanzania uliyoyafanya kwa miaka 4 ya uongozi wako. Watu wachache ambao hawakufanya vizuri katika majimbo yao wasikushawishi kutumia dola kuwalinda. CCM ina hazina kubwa ya viongozi vijana wanaokubalika. Badala ya kuhangaika na CHADEMA elekeza nguvu zako kusuka timu yako ya ushindi kwa wagombea udiwani na ubunge wanaokubalika.

Wito wangu, waache CHADEMA waendelee na kampeni zao za Tone Tone na No reform, No election" bila kuwabuguzi wala kuwajibu halafu tuone kama uchaguzi hautafanyika kwa amani. Katika tiba sisi madaktari tunafundishwa kuwa; 'when risk outway benefits, interventions are not recommended'
 
Tatizo siyo uchaguzi kufanyika kwa amani,bali tunaitaji tume huru ya uchaguzi uone kama Tundu Lissu hashindi mapema kabisa,na hilo ndilo analoliogopa Rais Samia na CCM yake,wanatengeneza mazingira ya ukandamizaji ili wavishinde hivyo vyama dhaifu,maana hawataitaji kuiba kura
 
Hadi sasa Rais Samia amechafuka sana kwa matendo ya kikatili yanayofanywa na polisi wake mchana kweupe,mikono yake imelowa damu kabisa
 
Attachments

  • 20240908_151114.jpg
    20240908_151114.jpg
    79.6 KB · Views: 39
Changamoto kubwa kuliko zote ya kazi ya siasa ni uvumilivu wa kukosolewa, wakati mwingine hata kuvunjiwa heshima. Ni wazi kuwa ushindani wa kisiasa haupo tu katika uwezo wa kuandaa na kuinadi ilani nzuri ya uchaguzi bali ni pamoja na kuwa na ustahimilivu wa kupokea changamoto za upinzani bila kuyumbishwa.

Maadhimisho ya mwaka mmoja wa urais wako yalitoa mwelekeo mpya wa siasa za nchi yetu. Falsafa ya 4R ilileta matumaini, ikafika wakati CHADEMA ambao ndio wapinzani wako wakubwa, sio tu walikualika kwenye mkutano wao, bali walikupa na tuzo. Haya yalikuwa ni mafanikio makubwa bila kujali tofauti za milengo yetu ya kisiasa.

Mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, ulikuwa ndio mwanzo wa mashaka tuliyonayo kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025. Kwa maoni yangu CCM haikuhitaji rafu ya aina yoyote kushinda 2024 na hata pasipo rafu yoyote bila shaka itashinda na kushika dola 2025, mjadala ungekuwa ni majimboni tu.

Madai ya "No reform, no election" hayakupaswa kwasababu yoyote ile kutufikisha hapa tulipo. Natafakari kwa sauti, nini kingetokea kama CHADEMA wangeachwa waendelee na mikutano yao? Au nini kilitokea maeneo ambayo CHADEMA walikuwa wameshapita kufanya kampeni yao? Sote ni mashahidi hakikutokea chochote.

Sintofahamu tulizonazo sasa, chimbuko lake ni kukamatwa kwa Tundu Lisu na kumfungulia kesi ya uhaini. Sina uhakika kama walioshauri na kutekeleza hili bado wanaamini wamemsaidia Rais. Lakini hii nguvu inayotumika kuzuia wafuasi wa CHADEMA kwenda kusikiliza kesi dhidi ya mwenyekiti wao ni ujumbe kuwa huenda uamuzi wa kumkamata haukuwa sahihi na kwamba unaibua hisia hasi kwa wananchi dhidi ya serikali na unaipa CHADEMA sababu ya kuthibitisha wanaonewa mbele ya jumuia ya kimataifa. Mambo ambayo kama serikali ingewapuuza, yasingetokea.

Mh. Jakaya kwangu atabaki kuwa mwanasiasa bora wa muda wote hapa kwetu. Katika urais wake, alisemwa na alitukanwa sana lakini hakutumia nguvu kwa kiasi hiki tunachokiona kushughulika na upinzani. Mh Rais kupitia falsafa yako ya 4R ni wazi ungeivunja hii rekodi. Wasiwasi wangu isijekuwa kuna watu wanakutisha kuwa usipotumia nguvu hautashinda tofauti na uhalisia wa kura za CCM tunavyouona huku mitaani.

Mh Rais, CCM inaorodha ndefu ya mafanikio ya kuwaeleza watanzania uliyoyafanya kwa miaka 4 ya uongozi wako. Watu wachache ambao hawakufanya vizuri katika majimbo yao wasikushawishi kutumia dola kuwalinda. CCM ina hazina kubwa ya viongozi vijana wanaokubalika. Badala ya kuhangaika na CHADEMA elekeza nguvu zako kusuka timu yako ya ushindi kwa wagombea udiwani na ubunge wanaokubalika.

Wito wangu, waache CHADEMA waendelee na kampeni zao za Tone Tone na No reform, No election" bila kuwabuguzi wala kuwajibu halafu tuone kama uchaguzi hautafanyika kwa amani. Katika tiba sisi madaktari tunafundishwa kuwa; 'when risk outway benefits, interventions are not recommended'
Samia ni picha tu kuna watu nyuma yake wanaosuka mipango yote hii.potofu. huku wakimwambia yeye atulie
 
Alishasema ni chura kiziwi
 
Ngumh kumuisolate na hiki kinachoendelea hasa kwa press zake za majivuno na vijembe. Ameshakaa kwenye kona mbaya historia haiwezi kumkumbuka kwa mema
Kabisa kwa speech zake tu moja kwa moja unaona kabisa yeye ndiye anabariki hivi vitendo na hajiamini kabisa sababu hana uwezo
 
Mwalimu akikufundisha kuhesabu 1-10 ukiwa mtoto utamkumbuka sababu ni elimu mpya katika ubongo mpya unaokua.

Hivyo hivyo hata mtu akikufundisha kuteka, kuua huyo utabaki kumkumbuka kama mwalimu wa utekaji.

Kazi Utekaji uendelee.
 
Back
Top Bottom