Rais Samia, mbona kila unaloagiza watendaji wakuu wanakugomea?

Kuna kitu hakika Sawa.. ..km cheti cha form four kina jina linaloendana na vyeti vingine shida iko wapi wapi?
kwa kuwa aliajiliwa kwa vyeti vya huyo alieuza jina na jina jina la kazini alipaswa atumie la huyo unless akasepa mahakamani kubadili jina.
Kwa umri unaosema yaani mtu wa miaka 58 suala la vyeti vya kuzaliwa haikuwa lazima....
Kuna ambao wengi wapo wa dizain hiyo bado wanafanya kazi....
 
Mkuu umeandika nilichokuwa nakifikiria inaonekana kuna shida sehemu na itoshe tu kusema kwamba mama Samia hana uhuru na mamlaka yake ya urais na kwa hali hiyo inawezekana kuna watu aidha wanamfosi afanye wanachotaka au labda anasalitiwa na washauri wake.

Bila shaka hayo uliyosema na hili la Mbowe (kubambikiwa kesi ya ugaidi na mauaji ya viongozi wa serikali) yanamuumiza mno Rais tukizingatia mwanzo wa uongozi wake ulivyokuwa.

Ndugai,Madelu na Gwajiboy ni miongoni mwa waliojitokeza wazi kumpinga Rais Samia.
Wake up mama watakumaliza kisiasa kumbuka na wewe umeingizwa kwenye kundi la Petty Dictator of the 21st Century na usipobadilika zile dua mbaya zitaanza kuombwa dhidi yako (Mungu aepushie mbali.)

Na kama huwezi kusimamia unachokiamini au unaona husikilizwi na wasaidizi wako basi WATUMBUE au waachie wengine wakae hapo KWA KITI, usije bebeshwa madhambi ya watu bureeee maana huku mtaani watu washaanza kuona bora ya Jiwe ( japo alikuwa muonevu kuliko wewe) kwa mikodi ya ajabu na ukiwaambia wasaidizi wako warekebishe hawajali chochote badala yake utasikia hamieni Burundi au leteni ushauri tufanyeje dadeki huko bungeni hakuna wenye uwezo kiakili kujua kwamba hii kodi ya miamala itaumiza walalahoi?
 
Nae Hana nia NNE.a

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Wahafidhina wa CCM wameshamaliza kazi yao wanamchora huku wakigongesheana glass za mvinyo. Kifupi kwisha habari yake
 
Kwani Gwajima ni mtumishi wa Serikali? Gwaji boy ni mwenzetu wacha amchachafye mama alochukua fedha za watu za corona sasa anatuletea chanjo feki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…