sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Mh. Rais hivi sasa ni saa kumi na mbili kamili nina Imani umeisha amka na umeisha swali Dua ya Asubuh!
Mh. Rais shikamoo!
Mh. Rais nauliza swali dogo na mimi ni Mtanzania na Mkurugenzi wa Taasisi kwa miaka 7 nchini Tanzania na ni mlipa Kodi mzuri kwa mujibu wa sheria zetu na ni MUUMINI wa kuamini pasipo Kodi kutoka kwangu na kwako na kwa wengine hakuna Maendeleo.
Swali, kuna tangazo ninaliambatanisha hapa chini, mbona naona miradi inaonekana kutekelezwa kwenye halimashauri hakuna pahala pametajwa yakuwa mradi fulani ni fedha za walipa Kodi wa Tanzania?
Yaani inaonekana miradi inatekelezwa kwa 90% kwa fedha za wahisani, je, tupo salama kiasi gani Mh. Rais? Mh. Rais uchaguzi unakaribia nina wasi wasi wateule wako wanaanza kukuhujumu au ni kweli?
Mh. Rais kuna Mtumishi wa TRA amekutwa na Bilioni 6 za Kitanzania chumbani kwake je, kauli yako ya jana ya kuwa fedha tunazolipa Kodi haziko mifukoni mwenu, sasa zipo wapi Sasa?
Tumwamini aliyekutwa na Bilioni 6 chumbani kwake au wewe au Mkurugenzi aliyetoa tangazo?