Rais Samia mfute kazi Naibu DPP Kweka, anachafua utawala wako

Kijana aachiwe sasa inatosha. Nadhan kama alikosa na lengo lilikua ni kumkumbusha kuwa anapaswa kuheshimu sheria atakua amenyooka sasa. Aachwe apumzike.
Majambawazi ya Hai yanahangaika kumtesa Sabaya sababu aliingilia na kuivuruga mifumo yao yote ya Ujambazi.

Tuliona viwanda feki vya konyagi...
 
Acha porojo mwana sgroup,mteeteeni naye apone🚶
 
Nimecheka sana Jenerali Sabaya anavyolia kwamba Magereza sio Picknic ni sehemu ya mateso[emoji2]na kweli Jela ni mateso maana kwa jinsi alivyokuwa anakula raha sehemu mbalimbali za starehe Arusha akiwa na misafara ya vijana wake halafu leo saa 9:45 mchana huu umwambie aingie Selo kulala daaah[emoji1787]
the law of karma. Mwache avune alichokipanda.

JESUS IS LORD
 
Huyu kweka tangu ateuliwe kazi yake imekuwa ni kushinda Arusha na Moshi akikusanya hongo za wakwepa kodi ili amkomoe Sabaya. Sasa hivi ameamua kutumia kodi za watanzani kukata rufaa tena yani nchi nzima kesi aliyoiona ni moja tu, atuambie kama yeye ndiye aliyebakwa na kuibiwa na Sabaya ili tupime matumizi ya kodi zetu.

Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.
Siyo kazi ya Rais au kiongozi yoyote wa ccm kufurahisha tu viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani huku akiacha wanachama wa chama chake wakiteseka. Kesi ya Sabaya ni ya kisiasa pia imejaa uongo mwingi ndiyo maana alipokata rufaa mahakama ikatengua hukumu ya miaka 30 lakini Rais Samia yuko kimya.

Tunaanza kampeni rasmi ya kumchangia na kumuwekea wakili Sabaya kwenye kesi yake. Kama msaliti wa nchi mzee wa MIGA aliweza kuchangiwa ,sisi kama watanzania wazalendo hatuwezi kushindwa kumchangia Sabaya ambaye kwa uzalendo wake aliitoa wilaya ya Hai kutoka ya 63 kwenye ulipaji kodi hadi ikawa ya 4 kitaifa.
Hatuwezi kuhukumu watu kwa kusikiliza upande mmoja wa wanafiki chadema ambao hawana jema kwa nchi yetu.

Chadema kila kitu wanapinga na kuponda, walipinga ndege, bwawa la umeme, elimu bure, ujenzi wa viwanda kila kitu wao ni kupinga tu, Ndege zilipokamatwa walishangilia.
Ndiyo tuwasikilize? Hapana.

#Justice for SABAYA
#Free SABAYA
 
Na DPP amekata rufaa ile kesi ya miaka 30.
Bado mnalo!!
 
Nenda kamripoti PCCB,
acha ukima

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
 
Punguza makasiriko
Weka hoja inyooke
 
Amekata kwa kutumia hela yake mfukoni?
Ame kata kwa kutumia zile mlizo kuwa mna waibia wafanya biashara. Si mliziweka bank? Sasa ziko mikononi mwetu. Hadi mta omba poo!! Jana mna mlilia Mh. Rais amsamehe ati kweli ali fanya makosa lakini ana teseja.
Hiyo ndio tuna iita karma.
 
Huyu kweka tangu ateuliwe kazi yake imekuwa ni kushinda Arusha na Moshi akikusanya hongo za wakwepa kodi ili amkomoe Sabaya. Sasa hivi ameamua kutumia kodi za watanzani kukata rufaa tena yani nchi nzima kesi aliyoiona ni moja tu, atuambie kama yeye ndiye aliyebakwa na kuibiwa na Sabaya ili tupime matumizi ya kodi zetu.

Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.
Siyo kazi ya Rais au kiongozi yoyote wa ccm kufurahisha tu viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani huku akiacha wanachama wa chama chake wakiteseka. Kesi ya Sabaya ni ya kisiasa pia imejaa uongo mwingi ndiyo maana alipokata rufaa mahakama ikatengua hukumu ya miaka 30 lakini Rais Samia yuko kimya.

Tunaanza kampeni rasmi ya kumchangia na kumuwekea wakili Sabaya kwenye kesi yake. Kama msaliti wa nchi mzee wa MIGA aliweza kuchangiwa ,sisi kama watanzania wazalendo hatuwezi kushindwa kumchangia Sabaya ambaye kwa uzalendo wake aliitoa wilaya ya Hai kutoka ya 63 kwenye ulipaji kodi hadi ikawa ya 4 kitaifa.
Hatuwezi kuhukumu watu kwa kusikiliza upande mmoja wa wanafiki chadema ambao hawana jema kwa nchi yetu.

Chadema kila kitu wanapinga na kuponda, walipinga ndege, bwawa la umeme, elimu bure, ujenzi wa viwanda kila kitu wao ni kupinga tu, Ndege zilipokamatwa walishangilia.
Ndiyo tuwasikilize? Hapana.

#Justice for SABAYA
#Free SABAYA
Sabaya ana Uzalendo gani aiseee??Mzalendo gani anayebadilishiwa Jela mara Kisongo mara Karanga,tumia akili[emoji1787][emoji1787]
 
Moshi. Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne imeahirishwa hadi Julai 4, 2022 kutokana na upelelezi kutokamilika.

Sabaya na wenzake wanne walifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi leo Juni 20,2022 kwa ajili ya kesi yao kutajwa.

Akiomba kuahirishwa kwa kesi hiyo wakili upande wa mashtaka, Verediana Mlenza ameieleza mahakama hiyo kuwa upelelezi bado haujakamilika na kwamba kibali kutoka ofisi ya DPP na hati ya kuipa mahakama hiyo mamlaka ya kuendelea na kesi hiyo bado hakijatolewa.

Kabla ya kuombwa kwa ahirisho hilo wakili wa upande wa utetezi, Hellen Mahuna aliutaka upande wa mashtaka kuwa makini kwa sababu mara ya kwanza washtakiwa hao walipofikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka yao walieleza mahakama hiyo kuwa upelelezi umeshakamilika.

"Hatuna pingazmizi na ahirisho, upande wa mashitaka mara ya kwanza kesi ilipoletwa katika mahakama hii walieleza kuwa upelelezi umeshakamlika, mara ya pili wakaja hapa na kutuambia upelelezi bado haujakamilika sasa ni mwezi, tunaomba upande wa jamhuri wawe "serious", kwa sababu washtakiwa wanateseka," amesema.

Hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama hiyo, Salome Mshasha ameiahirisha kesi hiyo kwa muda wa siku 14 na kuutaka upande wa jamhuri kuja na hitimisho wakati kesi itakapokuja tena Julai 4, 2022.
Ningefurai kama among sabaya angewalawiti na mamako angekuwemo.

Unamtetea jambaz??i, sabaya angeulawiti ukoo wako wote km ingebidi
 
Hivi kweli kuna vijibwa vinalitetea jambazi sabaya!?? Jambazi huyu aliyekata wenzake masikio na kuwapigilia misumari hana hisia za mateso wala maumivu huyu.
Wengi waliojisajiri JF kuanzia 2015 wako hapa kwa mission na maslahi binafsi.

In fact JF ilianza kuingiliwa tangu 2010, Lumumba ilipofanya usajili wa lile group la Buku saba.....!!
 
Back
Top Bottom