allesandro 2021
Senior Member
- Feb 10, 2021
- 142
- 156
Majambawazi ya Hai yanahangaika kumtesa Sabaya sababu aliingilia na kuivuruga mifumo yao yote ya Ujambazi.
Tuliona viwanda feki vya konyagi...
Alikosa nini? Mahakama imekuta hana kosa loloteKijana aachiwe sasa inatosha. Nadhan kama alikosa na lengo lilikua ni kumkumbusha kuwa anapaswa kuheshimu sheria atakua amenyooka sasa. Aachwe apumzike.
Wewe Wana sgroup mtetee naye atoke seloGaidi aliponea mbeleko ya Dpp
Acha porojo mwana sgroup,mteeteeni naye apone🚶Majambawazi ya Hai yanahangaika kumtesa Sabaya sababu aliingilia na kuivuruga mifumo yao yote ya Ujambazi.
Tuliona viwanda feki vya konyagi...
the law of karma. Mwache avune alichokipanda.Nimecheka sana Jenerali Sabaya anavyolia kwamba Magereza sio Picknic ni sehemu ya mateso[emoji2]na kweli Jela ni mateso maana kwa jinsi alivyokuwa anakula raha sehemu mbalimbali za starehe Arusha akiwa na misafara ya vijana wake halafu leo saa 9:45 mchana huu umwambie aingie Selo kulala daaah[emoji1787]
Gaidi alivuna alichopanda piathe law of karma. Mwache avune alichokipanda.
JESUS IS LORD
Huna pingamizi na ahirisho, sasa kwa nini unalalamika mteja anateseka?"Hatuna pingazmizi na ahirisho
Kodi yako ndiyo anaitumia kufanya huo upuuzi wakeKwa TAARIFA yako DPP AMEKATA RUFAA KUPINGA ILE KESI YA MIAKA 30
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Na DPP amekata rufaa ile kesi ya miaka 30.Huyu kweka tangu ateuliwe kazi yake imekuwa ni kushinda Arusha na Moshi akikusanya hongo za wakwepa kodi ili amkomoe Sabaya. Sasa hivi ameamua kutumia kodi za watanzani kukata rufaa tena yani nchi nzima kesi aliyoiona ni moja tu, atuambie kama yeye ndiye aliyebakwa na kuibiwa na Sabaya ili tupime matumizi ya kodi zetu.
Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.
Siyo kazi ya Rais au kiongozi yoyote wa ccm kufurahisha tu viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani huku akiacha wanachama wa chama chake wakiteseka. Kesi ya Sabaya ni ya kisiasa pia imejaa uongo mwingi ndiyo maana alipokata rufaa mahakama ikatengua hukumu ya miaka 30 lakini Rais Samia yuko kimya.
Tunaanza kampeni rasmi ya kumchangia na kumuwekea wakili Sabaya kwenye kesi yake. Kama msaliti wa nchi mzee wa MIGA aliweza kuchangiwa ,sisi kama watanzania wazalendo hatuwezi kushindwa kumchangia Sabaya ambaye kwa uzalendo wake aliitoa wilaya ya Hai kutoka ya 63 kwenye ulipaji kodi hadi ikawa ya 4 kitaifa.
Hatuwezi kuhukumu watu kwa kusikiliza upande mmoja wa wanafiki chadema ambao hawana jema kwa nchi yetu.
Chadema kila kitu wanapinga na kuponda, walipinga ndege, bwawa la umeme, elimu bure, ujenzi wa viwanda kila kitu wao ni kupinga tu, Ndege zilipokamatwa walishangilia.
Ndiyo tuwasikilize? Hapana.
#Justice for SABAYA
#Free SABAYA
Nenda kamripoti PCCB,Huyu kweka tangu ateuliwe kazi yake imekuwa ni kushinda Arusha na Moshi akikusanya hongo za wakwepa kodi ili amkomoe Sabaya. Sasa hivi ameamua kutumia kodi za watanzani kukata rufaa tena yani nchi nzima kesi aliyoiona ni moja tu, atuambie kama yeye ndiye aliyebakwa na kuibiwa na Sabaya ili tupime matumizi ya kodi zetu.
Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.
Siyo kazi ya Rais au kiongozi yoyote wa ccm kufurahisha tu viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani huku akiacha wanachama wa chama chake wakiteseka. Kesi ya Sabaya ni ya kisiasa pia imejaa uongo mwingi ndiyo maana alipokata rufaa mahakama ikatengua hukumu ya miaka 30 lakini Rais Samia yuko kimya.
Tunaanza kampeni rasmi ya kumchangia na kumuwekea wakili Sabaya kwenye kesi yake. Kama msaliti wa nchi mzee wa MIGA aliweza kuchangiwa ,sisi kama watanzania wazalendo hatuwezi kushindwa kumchangia Sabaya ambaye kwa uzalendo wake aliitoa wilaya ya Hai kutoka ya 63 kwenye ulipaji kodi hadi ikawa ya 4 kitaifa.
Hatuwezi kuhukumu watu kwa kusikiliza upande mmoja wa wanafiki chadema ambao hawana jema kwa nchi yetu.
Chadema kila kitu wanapinga na kuponda, walipinga ndege, bwawa la umeme, elimu bure, ujenzi wa viwanda kila kitu wao ni kupinga tu, Ndege zilipokamatwa walishangilia.
Ndiyo tuwasikilize? Hapana.
#Justice for SABAYA
#Free SABAYA
Amekata kwa kutumia hela yake mfukoni?Na DPP amekata rufaa ile kesi ya miaka 30.
Bado mnalo!!
Punguza makasirikoHuyu kweka tangu ateuliwe kazi yake imekuwa ni kushinda Arusha na Moshi akikusanya hongo za wakwepa kodi ili amkomoe Sabaya. Sasa hivi ameamua kutumia kodi za watanzani kukata rufaa tena yani nchi nzima kesi aliyoiona ni moja tu, atuambie kama yeye ndiye aliyebakwa na kuibiwa na Sabaya ili tupime matumizi ya kodi zetu.
Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.
Siyo kazi ya Rais au kiongozi yoyote wa ccm kufurahisha tu viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani huku akiacha wanachama wa chama chake wakiteseka. Kesi ya Sabaya ni ya kisiasa pia imejaa uongo mwingi ndiyo maana alipokata rufaa mahakama ikatengua hukumu ya miaka 30 lakini Rais Samia yuko kimya.
Tunaanza kampeni rasmi ya kumchangia na kumuwekea wakili Sabaya kwenye kesi yake. Kama msaliti wa nchi mzee wa MIGA aliweza kuchangiwa ,sisi kama watanzania wazalendo hatuwezi kushindwa kumchangia Sabaya ambaye kwa uzalendo wake aliitoa wilaya ya Hai kutoka ya 63 kwenye ulipaji kodi hadi ikawa ya 4 kitaifa.
Hatuwezi kuhukumu watu kwa kusikiliza upande mmoja wa wanafiki chadema ambao hawana jema kwa nchi yetu.
Chadema kila kitu wanapinga na kuponda, walipinga ndege, bwawa la umeme, elimu bure, ujenzi wa viwanda kila kitu wao ni kupinga tu, Ndege zilipokamatwa walishangilia.
Ndiyo tuwasikilize? Hapana.
#Justice for SABAYA
#Free SABAYA
Ame kata kwa kutumia zile mlizo kuwa mna waibia wafanya biashara. Si mliziweka bank? Sasa ziko mikononi mwetu. Hadi mta omba poo!! Jana mna mlilia Mh. Rais amsamehe ati kweli ali fanya makosa lakini ana teseja.Amekata kwa kutumia hela yake mfukoni?
Kama hana kosa angekuwa uraiani pimbi wewe na sio kwenye kuta ndefu kule ambako amri ya kulala ni saa 9 alasiriAlikosa nini? Mahakama imekuta hana kosa lolote
Sabaya ana Uzalendo gani aiseee??Mzalendo gani anayebadilishiwa Jela mara Kisongo mara Karanga,tumia akili[emoji1787][emoji1787]Huyu kweka tangu ateuliwe kazi yake imekuwa ni kushinda Arusha na Moshi akikusanya hongo za wakwepa kodi ili amkomoe Sabaya. Sasa hivi ameamua kutumia kodi za watanzani kukata rufaa tena yani nchi nzima kesi aliyoiona ni moja tu, atuambie kama yeye ndiye aliyebakwa na kuibiwa na Sabaya ili tupime matumizi ya kodi zetu.
Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.
Siyo kazi ya Rais au kiongozi yoyote wa ccm kufurahisha tu viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani huku akiacha wanachama wa chama chake wakiteseka. Kesi ya Sabaya ni ya kisiasa pia imejaa uongo mwingi ndiyo maana alipokata rufaa mahakama ikatengua hukumu ya miaka 30 lakini Rais Samia yuko kimya.
Tunaanza kampeni rasmi ya kumchangia na kumuwekea wakili Sabaya kwenye kesi yake. Kama msaliti wa nchi mzee wa MIGA aliweza kuchangiwa ,sisi kama watanzania wazalendo hatuwezi kushindwa kumchangia Sabaya ambaye kwa uzalendo wake aliitoa wilaya ya Hai kutoka ya 63 kwenye ulipaji kodi hadi ikawa ya 4 kitaifa.
Hatuwezi kuhukumu watu kwa kusikiliza upande mmoja wa wanafiki chadema ambao hawana jema kwa nchi yetu.
Chadema kila kitu wanapinga na kuponda, walipinga ndege, bwawa la umeme, elimu bure, ujenzi wa viwanda kila kitu wao ni kupinga tu, Ndege zilipokamatwa walishangilia.
Ndiyo tuwasikilize? Hapana.
#Justice for SABAYA
#Free SABAYA
Ningefurai kama among sabaya angewalawiti na mamako angekuwemo.Moshi. Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne imeahirishwa hadi Julai 4, 2022 kutokana na upelelezi kutokamilika.
Sabaya na wenzake wanne walifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi leo Juni 20,2022 kwa ajili ya kesi yao kutajwa.
Akiomba kuahirishwa kwa kesi hiyo wakili upande wa mashtaka, Verediana Mlenza ameieleza mahakama hiyo kuwa upelelezi bado haujakamilika na kwamba kibali kutoka ofisi ya DPP na hati ya kuipa mahakama hiyo mamlaka ya kuendelea na kesi hiyo bado hakijatolewa.
Kabla ya kuombwa kwa ahirisho hilo wakili wa upande wa utetezi, Hellen Mahuna aliutaka upande wa mashtaka kuwa makini kwa sababu mara ya kwanza washtakiwa hao walipofikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka yao walieleza mahakama hiyo kuwa upelelezi umeshakamilika.
"Hatuna pingazmizi na ahirisho, upande wa mashitaka mara ya kwanza kesi ilipoletwa katika mahakama hii walieleza kuwa upelelezi umeshakamlika, mara ya pili wakaja hapa na kutuambia upelelezi bado haujakamilika sasa ni mwezi, tunaomba upande wa jamhuri wawe "serious", kwa sababu washtakiwa wanateseka," amesema.
Hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama hiyo, Salome Mshasha ameiahirisha kesi hiyo kwa muda wa siku 14 na kuutaka upande wa jamhuri kuja na hitimisho wakati kesi itakapokuja tena Julai 4, 2022.
Wengi waliojisajiri JF kuanzia 2015 wako hapa kwa mission na maslahi binafsi.Hivi kweli kuna vijibwa vinalitetea jambazi sabaya!?? Jambazi huyu aliyekata wenzake masikio na kuwapigilia misumari hana hisia za mateso wala maumivu huyu.